abdalah Kelenge
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 266
- 203
Natumaini mmeamka salama, naombeni msaada ni alternative gani niitumie kupunguza ukubwa wa uume,maana imekuwa kero kwa gf even if namwandaa vyema before sex ila analaumu nina maumbile makubwa jambo linalomfanya sometimes anikimbie na kwenda kwao imefika wakati mpaka mama mkwe katambua hili swala sasa nifanyeje wakuu
Ushauri kinga yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri kinga yangu
Sent using Jamii Forums mobile app