Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Kwanini tecno mkuu?? umeangalia vigezo gani?Tecno c8
Hakuna hata yenye afadhali hapo..sikushauri yoyoteJamani hizi ni aina ya simu makapuni mawili tofauti, kwa anaezifahamu simu gani bora zaidi
katika yafuatayo
>uimara wa simu katika matengenezo
>ubora wa camera
>storage ya simu
>ukaaji wa chaji
>ubora wa kasi wa internet
>mwonekano mzuri
wataalamu karibuni
cc: Chief-Mkwawa na wengine
So mkuu mshana jr unanishauri nichukue C8? vipi hii blu studio energy 2 umejaribu kuicheki sifa zake??Techno C8 ina hizo sifa zote lakini ina matatizo yake mengine, kuna wakati inakuwa slow kwenye kurespond pia ukitaka kutuma msg inakuletea namba ya mwisho kutumia na sio namba unayoitaka usipokuwa makini unaweza kupata kesi hasa kama una michepuko
Kwani nyie mmechukua model no.ngp Za c8 Coz me c8 yangu haijawah kua na matatizo uliyoyataja HPO juu na nimejaza app kubwakubwa km asphalt8,front line commando,n.k.....achilia mbali movies,music.n.kTechno C8 ina hizo sifa zote lakini ina matatizo yake mengine, kuna wakati inakuwa slow kwenye kurespond pia ukitaka kutuma msg inakuletea namba ya mwisho kutumia na sio namba unayoitaka usipokuwa makini unaweza kupata kesi hasa kama una michepuko
Techno C8 ina hizo sifa zote lakini ina matatizo yake mengine, kuna wakati inakuwa slow kwenye kurespond pia ukitaka kutuma msg inakuletea namba ya mwisho kutumia na sio namba unayoitaka usipokuwa makini unaweza kupata kesi hasa kama una michepuko
Kumbe kuna techno originalChukua c8....utaipenda Ila nakushauri kanunue mliman city kkoo zimeingia feki kibao
Yah KUna watu wanaingiza feki Coz sku Hz wanaona zinauzika sanaKumbe kuna techno original
Tecno zote ni fakeYah KUna watu wanaingiza feki Coz sku Hz wanaona zinauzika sana
Mkuu usije kununua tecno yoyotekcamp bajeti yangu 300 mkuu, mbona watu wanazisifu sana kuwa ziko poa??
Teh teh kwani siye hatupendi kutumia IPhoneTechno again? Wenye kumiliki techno sijui Kwanini wanafutaga nembo ya techno kwenye simu zao