Ipi bora kati ya Samsung galaxy note na Huawei P7?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wanabodi,

Naomba kujua ni simu gani iliyo bora kati ya Samsung Galaxy Note na HuaweiP7? Naomba msaada wenu kwa anayeelewa maana najua kuwa JF kuna watu wenye uelewa wa kila aina..
 
Note ipi? Note 3/4 ni nzuri zaidi note 2 kama zinafanana na note ya kwanza imepitwa na p7
 
Chukua samsung hyo nyingne itakusumbua tu haina kitu
 
Mkuu ni note 2

Zote 2 ni mpya? Mimi ningechukua note 2 kama zote mbili ni mpya.

Kama ni used angalia sana note 2 ni simu ya 2012 miaka 3 sasa imepita hivyo huwenda imeshakuwa kimeo.
 
Note 2 ni used ila Huawei p 7 ni mpya mkuu
 
Kwa ushauri chukua Huawei P7 ni simu nzuri saana...bapa...ina camera nzurii 13mp back,front 8MP...pia ina option ya power serving nzuri kuliko ya note...screen kubwa ..simu bapa ipo smooth
 
Wanabodi,

Naomba kujua ni simu gani iliyo bora kati ya Samsung Galaxy Note na HuaweiP7? Naomba msaada wenu kwa anayeelewa maana najua kuwa JF kuna watu wenye uelewa wa kila aina..

Kama unafanya kazi za utafiti na operesheni za ardhini zinazohitaji vipimo na maelezo ya kuandika kwa haraka, chukua note 8.0 hata kama ni ile ya kwanza. Kama unataka kuonekana kuwa uko ulimwenguni na ni mmoja wa miungu watu na huhusiki katika shughuli nilizotaja hapo juu chukua HP7.
 
Mkuu huu ulonipa ni mtihani
 
Mkuu huu ulonipa ni mtihani

Watu huchukua simu za kisasa zenye uwezo mbalimbali kutokana na malengo au kutokana na wanakofanyia kazi. Mimi ninaye present kila siku nankuandika andika vitu vya haraka nahitaji galaxy note pana angalao 8.0". Hii inasaidia kuandaa mijadala na notes fupi fupi zinazoandikwa kama unavyofanya kwa kalamu ya kawaida (notes).

HP7 haina uwezo huo ila ni nzuri kwa muonekano na inafanya kazi kama galaxy tab isiyo na kalamu.
 
Wanabodi,

Naomba kujua ni simu gani iliyo bora kati ya Samsung Galaxy Note na HuaweiP7? Naomba msaada wenu kwa anayeelewa maana najua kuwa JF kuna watu wenye uelewa wa kila aina..

chukua p7 hapo ...ni nzur sana kushind hyo note 2
 
hapo sawasawa unauliza ferrari na toyota ipi bora
 
Back
Top Bottom