Kwa kawaida Bluetooth ya Iphone huwa haitumiki kutransfer mafile kati ya simu na simu au device nyingine yenye bluetooth, ila kuna utility applications zitakazokuwezesha kutuma na kupokea mafile kwenye simu nyingine. Applications kama 'ibluenova' for Iphone, sema inabidi iphone yako iwe Jailbroken ili kuweza kupata application kama hiyo,,,,,,😛oa