Tangu Iphone zianze kutengenezwa kumekuwa na toleo la line moja tu hadi mwaka 2018 walipotoa Iphone XS yenye dual sim.
Mtaani kumekuwa na watu wengi wasijua hili na mara nyingi wanasema simu hizo ni fake jambo ambalo sio kweli hata kidogo.
Dhana hii inaweza kuwa inachangiwa sana na wengi wa watu kutumia Iphone za matoleo ya zamani sana kama Iphone 6 hadi X na wengine kuzoea kununua simu kutokea Ulaya au Marekani ambako Iphone za line 2 hazipatikani.
Iphone zenye line mbili zinapatikana kwenye masoko matatu tu duniani nayo ni China, HongKong na Macau.
Kwa taarifa zaidi pitia hii support page ya Apple inayozungumzia matumizi ya line mbili kwenye simu ya IPhone
Using Dual SIM with two nano-SIM cards - Apple Support
In China mainland, Hong Kong, and Macao, certain iPhone models feature Dual SIM with two nano-SIM cards. This gives you two phone numbers to make and receive calls and text messages.support.apple.com
Naambatanisha na picha kuonesha Iphone 12 Pro max yenye dual sim zinazofanya kazi hapa TZ
Karibuni
View attachment 1963936
View attachment 1963937
Ila jamaa anaimba sana [emoji1][emoji1]Mkuu unasikiliziga nyimbo za huyo mtoto sio riziki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kwamba % kubwa ya iPhone wachina ndio wamezi assembleUnaposema za China una maanisha nini mkuu
Umeanzisha mjadala na kuufunga wewe mwenyeweTangu Iphone zianze kutengenezwa kumekuwa na toleo la line moja tu hadi mwaka 2018 walipotoa Iphone XS yenye dual sim.
Iphone zenye line mbili zinapatikana kwenye masoko matatu tu duniani nayo ni China, HongKong na Macau.
Nlijua nmeona peke yangu😂Mkuu unasikiliziga nyimbo za huyo mtoto sio riziki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanzisha mjadala na kuufunga wewe mwenyewe
Kitu cha China na HongKong kinaweza kuwa hata na line nne😊
Iphone OG kabisa “designed by Apple in California” ina line moja tuu
Hajui kwamba % kubwa ya iPhone wachina ndio wamezi assemble
Kitu cha China na HongKong kinaweza kuwa hata na line nne😊
Iphone OG kabisa “designed by Apple in California” ina line moja tuu