Iphone wame'surrender, sasa wanakuja na simu ya line mbili (dual sim)

Iphone wame'surrender, sasa wanakuja na simu ya line mbili (dual sim)

Mnaposema Tecno amekamata soko la Africa mnazungumzia Africa gani?Labda tuanzia hapo maana kuna nchi zingine za Africa ukiwa na Tecno utapata tabu saaana kuuza
Hakuna nchi africa tecno haipo. Na tecno ndo simu inayouza sana africa. Pamoja na kuwa na madhaifu kibao ila ndo simu zinazokaa na chaj mda mrefu, mwenyewe natumia tecno L9+ haijawahiniangusha nastream siku nzima na sitembei na chajbank. Naweza angalia utube masaa hadi 6 kwa siku na simu uikute ina 50% saa mbili usiku
 
Tukubaliane kuwa Tecno ni kwa ajili ya watu maskini au wenye kipato cha chini,lakini hakuna ubora wowote katika hizo simu
Ubora hupi ? Tambua kila mtu anachokuwa anakipendea kitu. Mfano watu wa vijijini wanapenda kutumia tecno kisa zinakaa na charge muda mrefu even hata watu wa project za polini.
 
Ubora hupi ? Tambua kila mtu anachokuwa anakipendea kitu. Mfano watu wa vijijini wanapenda kutumia tecno kisa zinakaa na charge muda mrefu even hata watu wa project za polini.
Aliyekwambia Samsung na iPhone hazikai na chaji ni nani?
 
Sasa Dual SIM ipo Samsung na simu nyingine nyingi kwa miaka ziadi ya kumi, kipi cha ajabu?
 
tecblog___BnoyOzPnk4W___.jpeg
tecblog___BnowBUTHo-X___.jpeg
 
Ina dual SIM card, SIM 1 ni nano SIM card na SIM 2 ni eSIM, hii eSIM 2 ni technogy mpya kabisa haina haja ya kuweka SIM card, kwahiyo ni kitu kipya katika teknolojia ya utengenezaji wa smartphone.
 
Hiyo Tecno ina soko Tanzania na Malawi,hata wenzetu wakenya hawatumii sana ujinga huu
We upo Dar unajifanya kuandika kwa taarifa yako Wakitoa statistics za mauzo ya Tecno Afrika haswa Nigeria yenye watu wengi utashangaa sana
 
kushindana na wa asia ngumu sana.. I phone lazima awafate tu.. kwa laini mbili..

tecno ndio smartphone mbovu sana ila ndio anaongoza kwa market share africa... huyu iphone hapigi faida anayopiga techno africa...
target ya iphone siyo africa
 
thamani sio ya i phone hiyo..

hiyo ni thamani ya kampuni ya apple.

apple wanapiga sana hela kwenye pc.. computer zao ndio zinauzika sana sababu ni za kazi.. video editor na photographer karibu wote duniani wanatumia apple...

tukiongelea simu kama simu.. techno anamzidi mauzo i phone sana kwa soko la africa... na kwa soko la dunia samsung anamzidi iphone kuuza simu..

ila tukiongelea computer za apple ambazo ni mac .. hapo anauza sana na kupiga mafaida hayo ya kampuni kufika matrillion... ila sio i phone
we mpuuzi nini.... unakijua unachokiongea kweli.... data za mwaka jana aliyeongoza kwa kuuza pcs nyongi ni samsung akifuatiwa na iphone then huawei, oppo, ndio zinafuata hizo takataka nyingine.... tena hiyo takataka zenu za tecno waliziweka kwenye kundi la others....
 
thamani sio ya i phone hiyo..

hiyo ni thamani ya kampuni ya apple.

apple wanapiga sana hela kwenye pc.. computer zao ndio zinauzika sana sababu ni za kazi.. video editor na photographer karibu wote duniani wanatumia apple...

tukiongelea simu kama simu.. techno anamzidi mauzo i phone sana kwa soko la africa... na kwa soko la dunia samsung anamzidi iphone kuuza simu..

ila tukiongelea computer za apple ambazo ni mac .. hapo anauza sana na kupiga mafaida hayo ya kampuni kufika matrillion... ila sio i phone
pia samsung na iphone kwa mauzo ya last year wamepishana only 1 percent
 
elewa kwanza maana ya market share..

mfano idadi ya watu wanaotumia simu africa yote wapo bilion moja..

unakuta nusu yao wanatumia tecno.. na wanaobaki nusu wengine ndio wanatumia mchanganyiko wengine iphone, wengine samsung, wengine huawei..

hapo kitaalamu wanasema tecno ana 50% market share in africa

so haijalishi nchi gani.. mradi ni africa tecno anakuwa king wa mauzo.. hata kama kuna nchi hajauza hata simu moja... ila zile nchi alizouza tecno nyingi zinambeba.. na kumfanya apige hela kuliko wenzake kwa soko la africa
lete data hapa... acha porojo... .tutafutie data
 
Hakuna nchi africa tecno haipo. Na tecno ndo simu inayouza sana africa. Pamoja na kuwa na madhaifu kibao ila ndo simu zinazokaa na chaj mda mrefu, mwenyewe natumia tecno L9+ haijawahiniangusha nastream siku nzima na sitembei na chajbank. Naweza angalia utube masaa hadi 6 kwa siku na simu uikute ina 50% saa mbili usiku
mtupishe na tecno zenu.... siwezi kutumia simu yenye kioo cha rangi nyeupe.... unanunua simu ukikaa nayo 2 months kamera inakuwa ukungu
 
Ina dual SIM card, SIM 1 ni nano SIM card na SIM 2 ni eSIM, hii eSIM 2 ni technogy mpya kabisa haina haja ya kuweka SIM card, kwahiyo ni kitu kipya katika teknolojia ya utengenezaji wa smartphone.
tell them
 
hizi ndio market shares za makampuni ya simu kwa africa....
Screenshot_20180915-171315.jpg
 
na hizi ndio market share kwa makampuni ya simu worldwide....
Screenshot_20180915-171256.jpg
 
Back
Top Bottom