Kwa mtu ambae yuko nyuma ya ios 11 anaweza vipi copy hizo voice clips na kusave kwenye files atakazo?
Fuata njia hiyo hiyo.
Press kwenye audio husika, click forward
Click share hapo utaona app ambazo unaweza kupeleka audio yako , app nzuri kwa experience yangu ni vlc ingawa zipo nyingi tu kama document 6 , unaweza peleka kwenye notes au media files kama idownloader zinapatikana App Store.
By the way kama simu yako ina support ios 11 (kuanzia 5s na kuendelea) fanya ku update mkuu kuna features nyingi humo.