iPhone Users!

iPhone Users!

Nenda settings , iTunes App Store ingia hapo Badili region weka USA au nchi nyingine zinazo support iTunes purchase . Itakuja fasta

Mbona option ya kuchagua region hapo haipo au unaipata wap?
IMG_1243.JPG
 
Very easy mkuu

Unaweza hamishia sehem unayotaka mfano from whatsap to VLC au from whatsap to Files (uwe na ios 11) na ukazi organise vizuri sehem unayotaka , fanya kama una share then copy to other apps or save kweye files . Media zako zinakuwa organised vizuri tu .

Anza hivi , hapo kwenye alama ya share click hapo
362a4c79d414ef9086b8786a409b59c8.jpg


Then copy to any app /app yako unayotumia kwenye media au files kama unavyoona hapa chini
0938c25b7540712b593be41f905dbd12.jpg
Ni mwaka wa pili natumia iphone, ila hii post yako imenifumdisha kitu ambacho nisingekijua mpaka 2020.
 
Nenda settings , iTunes App Store ingia hapo Badili region weka USA au nchi nyingine zinazo support iTunes purchase . Itakuja fasta
Hii haiwezi athiri malipo kama mtu umesajili kadi ya Bongo?
 
Inafanya hata iphone 4 unaweka !

Jioni nikipata mda ntafungua uzi jinsi ya ku log in iTunes maana hii imekuwa issue hasa kwenye nchi zetu !

Daaaah bro ahsante hapo kwa hint kidogo uliyo toa

Nimeitumia na kitu kiko vizuri kwa sasa

Mercie
 
Bonyeza kwenye Apple ID hapo. Then view Apple ID then country/region

Mkuu nikifanikiwa kufungua itune but haikubali tena kufanya purchase yoyote inaniandikia hivi
IMG_1254.JPG
nifanyeje ikae sawa
 
Back
Top Bottom