iPhone tatizo la mobile hotspot

iPhone tatizo la mobile hotspot

Itabidi ulipie tu package mkuu kama siyo lazima tengeneza google drive diwnload app mambo mengine ya sync huko
Tumia M-Pesa Mastercard, search maelekezo yake. unaweza itumia kufanya malipo yako bila kuwa na card halisi.
 
Iphone mara nyingi/zote imekuwa na tatizo sana kwenye ishu ya hotspot, mimi ni mtumiaji/ mfuasi wa iphone lakini kila nikitaka kutumia hotspot huwa kuna tabu sana, mara mpaka ni restart mara niizime kwa muda. Kwa sasa natumia infinix kwa sababu iphone yangu iko polis ila upande wa hotspot yani ukiwasha tu inakubali hapo hapo. Ila sipendi simu zaidi ya iphone
 
Msaada jinsi ya ku-update iCloud, naambiwa imejaa napaswa kulipia kuna package za 1900/- kwa mwezi and so.... hebu nisaidieni namna ya kufanya malipo.

Sina Creditcard et al.

cc: elmagnifico

Kama unatumia voda ni rahisi, kuna Mpesa Mastercard. Mimi natumia hiyo kulipia icloud
 
1c0bd2c5-87d4-42d6-980f-48c60b265cb6.jpg
fd665d60-a8b8-4c49-b230-ff650d54c4c8.jpg
23c867df-084b-4ee2-bbd7-e13070bec718.jpg


Iphone 6+ for sale
Price; 360,000
Contacts: +255 758 077 388
 
Habari za muda huu wana jamvi msaada tutani, natumia iphone 6+ tatizo lake nikiweka sim card tofauti na tigo (kwa mfano halotel, Ttcl) haitaki kuwasha mobile hotspot lakini kwa line ya tigo tu ndo inawasha hotspot .
Msaada kwa anaeweza nielekeza jinsi ya kufix hii tatzo
Nimetokea kuzichukia iPhone sijui kwa nn maana ya kwangu imezngua na ni mpya haina hata wiki...mara inaandka emergence call ..sasa imezma naichaji hata haionyeshi kama inapeleka chaj ipo ukiishika kwa pemben kama iko chaji kunatokea shoti . Yaaan sna ham nayo kbsa. Bora tu niendlee ktumia infinix
 
Umefuata ushauri wa Elmagnifico? Alichosema ndio solution. In Settings>Mobile Data>Mobile Data Network> Chini kuna sehemu imeandikwa Personal Hotspot. Kwenye APN weka "internet" kisha rudi back hotspot will be available. kama umefanya hivyo weka screenshot ukiwa umeweka internet kwenye APN

Mi simu yangu haitaki kuonyesha battery health ipo asilimia ngapi nawezaje Kufic tatizo hilo
 
Kila laini kwenye iPhone ina setting zake za intertnet zinazojitegemea, hivyo basi kila laini itahitaji configuration zake ukitaka kutumia internet au hotspot. Kutengeneza hotspot ya laini nyingine fanya hivi
1.Fungua settings na click sehemu ya "Mobile Data"
2.Baada ya hapo utaona sehemu ya carrier click "Mobile Data Network"
3.Scroll down na utaona sehemu ya "Personal Hotspot" edit sehemu ya APN andika internet
4.Rudi nyuma kwenye settings utaona Personal Hotspot badilisha password ya wi-fi utakayopenda kutumia (by default kuna password ambayo utahitaji kuiangalia ili kutumia)

Mkuu mimi simu yangu battery health inashindwa kuonyesha ipo asilimia ngapi
 
Nimetokea kuzichukia iPhone sijui kwa nn maana ya kwangu imezngua na ni mpya haina hata wiki...mara inaandka emergence call ..sasa imezma naichaji hata haionyeshi kama inapeleka chaj ipo ukiishika kwa pemben kama iko chaji kunatokea shoti . Yaaan sna ham nayo kbsa. Bora tu niendlee ktumia infinix
wewe tumeshamaliza kule kwenye uzi wako,ile simu ni fafa aka bashite.

Kwahiyo case yako imeisha.
 
Back
Top Bottom