Habari za muda huu wana jamvi, msaada tutani.
Natumia iphone 6+ tatizo lake nikiweka SIM card tofauti na Tigo (kwa mfano Halotel, TTCL) haitaki kuwasha mobile hotspot lakini kwa line ya Tigo tu ndo inawasha hotspot.
Msaada kwa anaeweza nielekeza jinsi ya kufix hii tatizo.