Kama ukweli ndio povu na liwe povu tu. Mtu hajui hata Jailbreak ndio niniHili ndo povu lilokua likisubiliwa
Kama ukweli ndio povu na liwe povu tu. Mtu hajui hata Jailbreak ndio niniHili ndo povu lilokua likisubiliwa
"M" series zikaenda mbali zaid, 6000mAh,"A" series zimekuja na betri nzuri , 4000 mphs
Kama hata kuweka MEMORY CARD huwezi
Basi iphone Ni Simu ya kipumbavu kabisa tangia dunia imeumbwa.
umenivunja mbavu, nimekosa nguvu za kuendelea kusoma, hio ada uliyokula kwajili ya english course ili umiliki iphone hakika tumeona matokeo yakeHaujui simu wewe baki uko kwenye android nimetumia huwawei, Samsang na Nokia but iphone imenibamba
Unasema earphone hakuna tundu ndio maana kuna Ipond,
1: HuwaweiHaujui simu wewe baki uko kwenye android nimetumia huwawei, Samsang na Nokia but iphone imenibamba
Unasema earphone hakuna tundu ndio maana kuna Ipond, betri unatoa kiurahisi unasema android simu nying now haziji na removable betri mfano Oppo, Xiom, infinix, tekno ata iphone betri kuisha au kuharibika wanafanya marekebisho kwa kuweka mpya.
Unasema kudownloads vitu kama nyimbo audiomack ipo, bolt ipo, Applemusic ipo,spotify ipo wewe unataka udownload kwa njia zako za free pirates ili uwe na mavirus mengi.
Sema Application za ovyo ndizo zipo android application nying ulizonazo ata kwenye IOS Zipo tena nzuri kuliko izo za android mfano podcast, facetime
Unaongelea issue ya kutembea na power bank unajua samsung ndio simu zinazoua sana betri yani inaisha pasipo taarifa.
Vifaa au spare za simu kama samsung touch tu bila 150k-250k ufanyi malekebisho.
Unaongelea kuback up unaijua icloud?
Yani kama haujui sasa ukiwa na iphone. Ukataka kuchange kwenda simu nyingine unaweza kufanya transfer ya kila kitu mpaka msg za kawaida, picha ,call history backup inafanyika tena vzr tu so usiongee kama haujui au ulishindwa tumia simu wewe.
Kutumia simu kama remote ata iphone unaweza tumia so iyo hojayako haina mashiko no reserch no right to speak
Ni kweli uyasemayo kuna wengine ni mkumbo tu wamesikia obama anatumia iphone na wao vuuuu wanaingia kichwa kichwa....Natumia Huawei Xs.kuna ile tendency kwamba ukitumia kitu fulani ambacho ni cha gharama unaonekana tajiri...huo mkumbo ndo unaopelekea mtu fulani kuhisi akimiliki Apple ataonekana class yake ni ya juu...japokuwa watu wengine wanamiliki just kama kitu cha kawaida, wengine wanamiliki kwa sababu ni watu wachache wanamiliki....
Acc za kina obama n wengine zilipgwa chini na wanatumia izo iphone zaoHakuna ulinzi mtandaoni. Hii ni hoja inayotumiwa na mazwazwa ambao hawaelewi kitu. Iphone mara kibao hackers wanaiba taarifa za celebrities.
Eti security.
Google Reveals How To Hack An Apple iPhone Within Minutes
Iphone six achana nayo picha linaanza uwezo wa betriUlivompangua jamaa Kama Lisu akipangua hoja za upande wa pili.
Umenishawishi mkuu maana nilkuwa na kabajeti fulani angalau nikavute ka iPhone 6.
Safi!
Samsung ganiKero ya samsung ni kutokuwa na redio.
Cheee!!! nilikua nimepanga nivute Iphone XR aisee kama ndio matumizi hayo kwa mwezi wacha ni subiri hii samsung note 20
Mkuu hayo ni matumizi kwa mwezi?
Sisi tunataka ku download free WASAKATONGEHaujui simu wewe baki uko kwenye android nimetumia huwawei, Samsang na Nokia but iphone imenibamba
Unasema earphone hakuna tundu ndio maana kuna Ipond, betri unatoa kiurahisi unasema android simu nying now haziji na removable betri mfano Oppo, Xiom, infinix, tekno ata iphone betri kuisha au kuharibika wanafanya marekebisho kwa kuweka mpya.
Unasema kudownloads vitu kama nyimbo audiomack ipo, bolt ipo, Applemusic ipo,spotify ipo wewe unataka udownload kwa njia zako za free pirates ili uwe na mavirus mengi.
Sema Application za ovyo ndizo zipo android application nying ulizonazo ata kwenye IOS Zipo tena nzuri kuliko izo za android mfano podcast, facetime
Unaongelea issue ya kutembea na power bank unajua samsung ndio simu zinazoua sana betri yani inaisha pasipo taarifa.
Vifaa au spare za simu kama samsung touch tu bila 150k-250k ufanyi malekebisho.
Unaongelea kuback up unaijua icloud?
Yani kama haujui sasa ukiwa na iphone. Ukataka kuchange kwenda simu nyingine unaweza kufanya transfer ya kila kitu mpaka msg za kawaida, picha ,call history backup inafanyika tena vzr tu so usiongee kama haujui au ulishindwa tumia simu wewe.
Kutumia simu kama remote ata iphone unaweza tumia so iyo hojayako haina mashiko no reserch no right to speak
Kwamba simu kuweka ringtone lazima uwe mjanja?Iphone inafanya multistaking na ilianza kuwa pure multi tasking kuanzia iOS 7 kabla ya hapo haikuwa pure multi-tasking. Namshangaa kwa kusema iphone haifanyi multi-tasking huenda simu ya mwisho ya iphone kutumia ilikuwa labda iphone 5.
Nilichoendelea kuandika hapo chini nilikuwa naongea malalamiko yake mengine kama ya ring tones n.k hayo yanawezekana pia kufanyika kwa mtu anayejua kucheza na iphone ila mtu akifanya hayo nitamshangaa kwanini apoteze muda kununua iPhone wakati anataka kufanya customization, si bora tu arudi android maana iPhone haijatengenezwa ikilenga waumiaji wanaotaka hicho.
Kwani kiongozi Simba fc ni sawa na ndanda fc. Juu itabaki kua juu tu na ndio maana ata bei hazilingani, kumbuka iPhone ni mtu wa kutoa HIGHEND DEVICES TU, HAKUNA UTOPOLO.kuna ile tendency kwamba ukitumia kitu fulani ambacho ni cha gharama unaonekana tajiri...huo mkumbo ndo unaopelekea mtu fulani kuhisi akimiliki Apple ataonekana class yake ni ya juu...japokuwa watu wengine wanamiliki just kama kitu cha kawaida, wengine wanamiliki kwa sababu ni watu wachache wanamiliki....
Yah kwasababu lazimakwanza ukate wimbo uwe na sekunde kadhaa halafu uubadili format kutoka mp3, a vec kwenda format ya ringtones za iphone halafu uuweke kwenye special folder. Kwa mtumiaji wa kawaida hawezi kufanya hilo, na mimi nitamshangaa mtu ahangaike kufanya hayo yote kama anayataka si anunue android mtengenezaji wa iphone hakutengeneza kwa ajili ya customization za hivyoKwamba simu kuweka ringtone lazima uwe mjanja?
Isheep bwana.
Lengo ni kumantain performance ya simu kwa sababu memo stick nyingi zina reading an writing speed ndogo tena ukikutana fake ndo kabisa na zinaifanya simu inakuw slow. Ndiyo maana siku hizi unapewa gb kuanzia 64 kama internal memory bado una option ya kuhifadhi vitu kwenye icloud au drop box maana internet inaamia kwenye cloud sasa. Mtu akisema kuwa kuhifadhi vitu kwenye cloud ni gharama itakuwa kituko ununue simu ya million mbili uone kuhifadhi vitu kwenye cloud ni gharama, ni sawa na wale wanaolalamika V8 inakunywa sana wese wanataka inywe kama altezzaKama hata kuweka MEMORY CARD huwezi
Basi iphone Ni Simu ya kipumbavu kabisa tangia dunia imeumbwa.
Hayo yatakuwa ya muda mrefu mkuu haiwezi kuwa kwa mwezi we gb 809 unazifanyoa nini kw mwezi unless awae anaitumia kama hotspot ofisiniCheee!!! nilikua nimepanga nivute Iphone XR aisee kama ndio matumizi hayo kwa mwezi wacha ni subiri hii samsung note 20