Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Nahisi ni Ngumu hata dealers wenyewe mi nilishawahi kumtengea 600,000 anitolee akaniambia haiwezekani. Japo tunatengeneza na kutoa Ushauri juu ya hizi simu.
Wat I blv nthng posbl under the sun, wapo wanaoweza kufungua
Ingawa ni pata potea,
Ndugu umetokea kigoma nini search Forum zote duniani wanalia na I cloud ni uchawi uliowekwa kiwandani na very difficult to remove sasa kwa nini unasema nothing possible under the sun halafu unasema kuna watu wanaweza kufungua.
Wat I blv nthng posbl under the sun, wapo wanaoweza kufungua
Ingawa ni pata potea,
Iphone ni kitu kingine aisee usilinganishe na takataka za android.
Ukishindwa ww jambo, ucdhani kama hakuna wakuliweza
Endelea kusubiri mama.
Msada, tecno P6, nime root kwa kingroot. Nimeweka pollipop launcher lkn ina ganda ganda sanaa. Unaweza gusa contact, ikachelewaaa ...
lol kiingilishi hiki😂Ma ITs bado tunahangaika kupata ufumbuzi
Nothing possible under the sun,
Na siku nitakayosikia iDevices zimeanza kuchakachuriwa kirahisi nitawapa mkono wa bye bye AppleWat I blv nthng posbl under the sun, wapo wanaoweza kufungua
Ingawa ni pata potea,
Na siku nitakayosikia iDevices zimeanza kuchakachuriwa kirahisi nitawapa mkono wa bye bye Apple
We nae umepotea hapa, huu uzi haukuhusu, hapa tunazungumzia iDevices tuMsada, tecno P6, nime root kwa kingroot. Nimeweka pollipop launcher lkn ina ganda ganda sanaa. Unaweza gusa contact, ikachelewaaa ...
Zikichakachuriwa kirahisi I mean kila mtu awe na uwezo wa kutoa iCloud kama tunavyofanya rooting kwenye Android OSHahahhaha, wapo wanaofungua, ingawa majamaa wabishi, kubali kataa kilicjoumbwa na binadamu kinatatiliwa na bina damu, watu wana hark WB sembuse apple
Zikichakachuriwa kirahisi I mean kila mtu awe na uwezo wa kutoa iCloud kama tunavyofanya rooting kwenye Android OS
Mkuu haya ya ushoga waachie wenyewe maana ukifuatilia ya wazungu utajikuta hutumii hata kitu kimoja wanachotengenezaHilo haliwezekani kwani wanapogundua utatuzi wao wanazidisha privacy hahhaha
Ila wananiuzi na ule ushoga wao
Mkuu haya ya ushoga waachie wenyewe maana ukifuatilia ya wazungu utajikuta hutumii hata kitu kimoja wanachotengeneza