Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,634
Mkuu naomba ushauri kati iPhone 8 plus na Mi Note 10, kwa mtu anayetaka kununua mojawapo ungeshauri ipi?Uzuri wa Note 8 pro ni simu yenye nguvu sana kwa vitu built in ipo vizuri, ubaya wake inatumia mediatek hivyo itakuwa limited kwenye developer support, kwa sasa port ya GCam ipo kwenye hii xiaomi sema ni version ya zamani, version mpya kuna vitu vingi bado havifanyi kazi. Simu nyingi za kichina zina hardware nzuri ila software si nzuri hivyo ukipata software nzuri kama Gcam inasaidia sana kwenye quality ya picha.
Overall redmi note 8 ni simu nzuri zaidi kushinda iphone 7, sema angalia na wewe mwenyewe unapenda android ama ios.
Hapo achague kwanza ios na Android anataka ipi?Mkuu naomba ushauri kati iPhone 8 plus na Mi Note 10, kwa mtu anayetaka kununua mojawapo ungeshauri ipi?
Mkuu sorry nataka nichukue simu moja kati ya hizi redmi note 7 pro au mi a3 ipi kati ya izo ni nzuri zaidiHapo achague kwanza ios na Android anataka ipi?
Then camera kwake ni muhimu kushinda vitu vyote?
Maana mi note 10 ina flagship camera ila soc yake ni midrange tu, hivyo kwenye matumizi ya kawaida haitakuwa flagship level.
Note 7 pro ni nzuri zaidi. Sema haina band ya 4g ya tigo na smile.Mkuu sorry nataka nichukue simu moja kati ya hizi redmi note 7 pro au mi a3 ipi kati ya izo ni nzuri zaidi
Sawa mkuuNote 7 pro ni nzuri zaidi. Sema haina band ya 4g ya tigo na smile.
ximu kali ni dagoode n20 wameixhindainixha na iphone 11Naona mi note 10/Pro hatari japo ni Quad Bayer ila ni ya pili kule Dxomark
kwa gcam oppo wanajitahid mfano wameitumia kwenye oppo f1plus yenye os lollipop5.1Note 7 pro ni nzuri zaidi. Sema haina band ya 4g ya tigo na smile.
Simu zote za kichina Gcam ina improve sana picha,kwa gcam oppo wanajitahid mfano wameitumia kwenye oppo f1plus yenye os lollipop5.1
Redmdmi dukan au kwa MTURedmi note 8, realme 5,
o iyo oppo zinazoSimu zote za kichina Gcam ina improve sana picha,
LA redmi note8pro dukan kwa 300 unaweza pata kweli??Redmdmi dukan au kwa MTU
o iyo oppo zinazo
saada chief mkwqkwa kati ya android lollipop na marshmallow IPI mzuri maana nakuta watu wanalalamika wanataka kurudi lollipop kutoka marshmallow IPI nzur hapo nataka ninunue oppof1plus ambayo inaitwa r9 yenye lollipop5.1Hapo achague kwanza ios na Android anataka ipi?
Then camera kwake ni muhimu kushinda vitu vyote?
Maana mi note 10 ina flagship camera ila soc yake ni midrange tu, hivyo kwenye matumizi ya kawaida haitakuwa flagship level.
Jinsi android inavyozidi kubwa version mpya ndio jinsi inavyokuwa nzuri zaidi.saada chief mkwqkwa kati ya android lollipop na marshmallow IPI mzuri maana nakuta watu wanalalamika wanataka kurudi lollipop kutoka marshmallow IPI nzur hapo nataka ninunue oppof1plus ambayo inaitwa r9 yenye lollipop5.1