iPhone kuzima na kuwaka yenyewe kunani?

iPhone kuzima na kuwaka yenyewe kunani?

bface

Senior Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
128
Reaction score
19
Naomba Msaada kwa hilo coz fone huwa inajizima na kuwaka yenyewe wakati ukiwa unatalk au unafanya ishu zngine tatizo ni nn? Msaada pliz kwa yeyote anaejua
 
ah axeeeh kumbe iphone ni vyote vimeo... me yangu ukiilock tu ndo umeizima.... subiri waje
 
inategemea na version...pengine unahitaji updates ...mara kwa mara unakuta hii incident iko associated na either jailbroken iphones, au zile zinazotumia Gevey sim tray... hivyo usihofu, ni kawaida tu. Cheers..
 
Ngoja tuvute subra km vp tunaamia galaxy coz inaboa
 
Hmmmmm! Jailbroken phones huwa zina matatizo. Kutakuwa na conflicts between apps ulizo install from cydia. Jaribu kuiupdate then do not jailbreak it
 
Back
Top Bottom