elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Well, binafsi natumia iphone. Sija ijail break and it works for me.
Hapo umeongelea hasa upande wa apps na simu appearance ambayo haiwi kwenye display somewhere unayo wewe mfukoni mwako.
Nadhani jail breaking ingekuwa na maana kama ingekuwa inaongeza phone space, fluidity of ios or battery life improvements.
Kwangu mimi basic apps toka app store zinanitosha, ku-customize mambo mengine hayana maana kwangu.
Afterall, jail breaking ina expose simu kwenye flaws and inakuwa prone na matatizo mbali mbali kama virus. Kwasababu unaondoa security features zilizokuja na simu.
Matoleo ya mbele ya simu wataanza kuzuia jail breaking kwasababu wengi wanaofanya hivyo wanakumbana na matatizo mwisho wa siku wanarudi apple kuwaomba wawatengenezee.
na ukijailbreak vilevile unakosa mengi... sioni point ya kujailbreak kisa kubadili theme, theme zenyewe kwenye cydia zipo ovyo sana.. na kitu ka whatsapp++ what for? whatsapp yenyewe inatosha haihitaji modifications..
Mimi ni mpenz wa iphone na ios yake, lakini kama mnavyojua ios ina limitation nyingi sana na ndiyo maana watu wanaopenda tweaks wana prefer android.
Ila kwa watumiaji wa ios ukijailbreak device yako utaifaidi zaid mfano utaweza install whatsapp ++ upate features kibao, utaweza tumia whatsapp web ambayo kwa iphone bado officially hawajaitoa kutokana na limitations za ios.
Utaweza funga application yoyote unayotaka mfano mimi nimefunga whatsapp na app ya messeges huwezi zi access mpaka uweke passcode.
Utaweza customize simu kwa kuweka themes, ringtones nyingine tuma files via blutooth, share music via whatsapp japo pia hili lawezekana bila kujailbreak via shareApp lite.
Pia unaweza download app yoyote iliyopo app store hata kama ni ya kulipia bure na hii sio lazima simu iwe jailbroken.
Haya mambo ni ya kimaskini maskini sana (figuratively)! Hivi ununue iPhone $600-700 afu uanze jailbreaking uli iweje? Tz kwa ujanja ujanja duh!
Kushusha hadhi ya apple, we ukitaka hizo kitu nunua tecno, huwawei & the like.
Nilijailbreak 4s yangu wakati nahamia kwenye version ingine baada ya kuback up vitu vyangu nikareset ile 4s bila kutumia itune, ile simu haijawai amka mpaka leo zaidi ya kuwaka na kuishia kwenye logo ya apple tu. Tangia hili tukio litokee nimeichukuia hii kitu inayoitwa jailbreak
Jambo la kushangaza jailbreaking hawajatengeneza Tanzania bali wametengeneza wachina ambako ndiko kuna soko kubwa la iphone. Kuna nyingine alitengeneza Mgermany japo haikuwa successful kwa hiyo its not about kuwa Mtanzania, wanatengenezea wao sisi tunatumia na sio sisi tu dunia nzima ungekuwa watembelea online developers forums ungeona kule hakuna hata watanzania ni hao wazungu na wachina wanaojailbreak simu zao.
Kujilbreak simu yako wala sio kosa na apple hawawezi kusue kwa kufanya hivyo labda unakuwa umepoteza warranty ila ukirestore simu inarudi kama kawaida na there is no way wanaweza sema simu ilikuwa jailbroken awali.
Taig na pangu ni community ya wahandisi wa kichina wanaofanya kazi kujailbreak kila ios inayotolewa, sio suala la umasikini ni kuwa kwa mtu anayependa kupata zaidi angependa kucheza na device yake.
Kwa normal user kwako kawaida.
Ni sawa ununue gari najua wewe una magari ya kifahari then ulipimp utoe redio iliyokuja na gari lako uweke nyingine, ubadili rims, seat covers its all about giving it a new taste.
Taig na pangu ni community Zenye worth milion dollars thou wanatoa bure hizi software za kujailbreak.
Mkuu elmagnifico maelezo yako ni mazuri sana.
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza je nikihamia ios nitakua huru kama huku android.
Mfano ku download movie, magemu, na vinginevyo bila ku- jailbreak
Iwashe ikiwa kwenye dfu mode uwe tayari ushadownload file ya os usika ya simu iconnect kwenye pc yenye itunes kuanzia 12 itaidetect then click shift/command ikiwa watumia mac na click restore kwenye itunes itakupeleka u locate file lako lilipo lililocate then itaanza kufanya installation ya ios upya kwenye device yako. Sit and relax mpaka itakapomaliza
na ukijailbreak vilevile unakosa mengi... sioni point ya kujailbreak kisa kubadili theme, theme zenyewe kwenye cydia zipo ovyo sana.. na kitu ka whatsapp++ what for? whatsapp yenyewe inatosha haihitaji modifications..
Pole sana mkuu sababu hujui unalolisemaHaya mambo ni ya kimaskini maskini sana (figuratively)! Hivi ununue iPhone $600-700 afu uanze jailbreaking uli iweje? Tz kwa ujanja ujanja duh!
Kushusha hadhi ya apple, we ukitaka hizo kitu nunua tecno, huwawei & the like.
Mkuu naomba orodhesha mambo unayokosa uki jailbrake iphone yakona ukijailbreak vilevile unakosa mengi... sioni point ya kujailbreak kisa kubadili theme, theme zenyewe kwenye cydia zipo ovyo sana.. na kitu ka whatsapp++ what for? whatsapp yenyewe inatosha haihitaji modifications..