Nauliza hivi: ni ana gani ya external storage accessory ni nzuri kwa iphone? Kama external hard disk ni ipi?.
Nataka urahisi wa kuhamisha picha kutoka iphone yangu na ipad ikiwezekana nisitumie computer
Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
mkuu mimi iphone 4s yangu nimepewa na jamaa so leo nimeiwasha inahitaji kuingiziwa apple id...nimejaribu mbinu zote nimeshindwa na aliyenipa yupo mbali siwezi mfikia nje uko na sina mawasiriano nae yeyote je unaweza kunisaidia...?