IPhone 7+

Nimetuma screenshot ya find my iPhone
MKuu nakuchek inbox unichek kwenye namba yangu maana kwa kucopy naona kama ni garasa katisha maana UI ka OG nakupa namba yangu nitxt kawaida then ntakuscreenshot vitu vya kuangalia nijiridhshe.
Kwenye screenshot yako ya pili kitu pekee kinachonifanya nihisi sio OG ni font za Airtel na % ya betri kuwa bolded wakat saa tu ndiyo inabidi iwe bolded mengine yawe kawaida
 
Usichanganywe na UI mchina anaiwekea launcher yenye muonekano wa ios kama xiomi anavyofanya.
Hizo apps za cleaner huoni kuwa za android iphone ios hairuhusu mambo ya ku clean caches kwenye simu.
Nimeanza na kicheko nina maana yangu.

Launcher inaishia nje huko mkuu,ndani ni habari nyingine.inahitaji muda na uwekezaji ndio maana xiaom ni kampuni rasmi yenye mtaji wa kueleweka.hii itakuwa OS mpya kutoka china yenye ui ios pure lakini apps ni android.
 
Ofcourse ni android ndiyo maana app ya fb ina 70mbs wakati app ya fb ios ina more than 200mbs ndiyo maana inahitaji wifi kuidownload.
 
Mkuu ningependa aweke hapa kama atapenda tuendelee kuona maajabu.
 
kiifupi hiyo sim ni feki si unaona anaulizia mara internal memory sijui external kitu ambacho hakipatikani kwenye ios
 


Mkuu store ya ios uwa haionyeshi size ya app mpaka ukiiclick ndipo utaona size yake kwenye details.
Hiyo ni android sema mchina kaichakachua ionekane kama app store.
Nimeona pia kuna mtu liuziwa 6 fake kwa haraka asiyejua anaweza hisi ni OG.
Hiyo screenshot ni app store OG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…