IPhone 7+

mwai1979

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
22
Reaction score
2
Msaada kuhusu iPhone 7+
Kwa anaejua iPhone vyema ,simu yangu ina 250gb,tatizo langu ni kwamba nikisave chochote chenye ukubwa wa mb kwenye simu kinachukua space Kama GB. Kama kuna mwenye kujua nn cha kufanya ili iweze kusave Kama mb. Naimani nimeeleweka. Naombeni Masada tafadha
 
Hujaeleweka..
Mfano ukisave nini na kwakutumia itunes au nini ebu fafanua...
 
Hujaeleweka..
Mfano ukisave nini na kwakutumia itunes au nini ebu fafanua...
Ahsante. Kwa mfano nilidownload facebook app yenye ukubwa wa mb 70.,nikaisave kwenye phone memory,cha ajabu ikatumia ukubwa wa 70gb badala ya 70mb, hii ni kwa chochote ninacho kisave kikiwa na mb kinachukua ukubwa wa GB.
Baada ya kusave 70mb nilotegemea ni kubaki na zaidi ya GB 249,badala yake nikabakiwa na GB 380.nadhani utanielewa,
Samahani mm sio mtaalamu wa mambo ya sayansi hivyo kwa naelezo haya natumai nimeeleweka
 
Nna mashaka kama hujapigwa simu fake, kwanza facebook ya iphone ina zaidi ya mb 200, siyo mb 70.
Na huchachagui pa kuisave inaji install yenyewe ukisha click install inadownload na kuinstall automatically hakuna kuselect sijui location siyo kama android.
Hiyo simu itakuwa famba nadhan.
Ebu tafuta app inaitwa app store ifungue kisha weka screenshot hapa.
Au fungua app inaitwa find my iphone niambie umeona nini.
Hiyo simu yako ina sehemu ya memory card?
Kama ina memory card pia jua fake maana hakuna iphone yenye momory card.
 

Dah asee iphone fake hyo..uliuziwa bei gan tuanzie hapo. Iphone hawana gb250. Kuna 16, 32 ambayo hii kwenye 6 series haipo tena, then kuna 64, 120 na 256. Pole sana, nmejiskia huruma nkatama hata kukulilia.
 
 
Heheee mbona yenyewe!!!
Usichanganywe na UI mchina anaiwekea launcher yenye muonekano wa ios kama xiomi anavyofanya.
Hizo apps za cleaner huoni kuwa za android iphone ios hairuhusu mambo ya ku clean caches kwenye simu.
 
Siyo yenyewe mjomba umepigwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…