Iphone 7 yasababisha mlipuko huko Australia

ivi hiyo iphone 7 ni bei gn kwa madafu yetu?
 
Hizi ni figisu za upande ule tu na kama tutaanza kuona matukio mengine
 
Biashara iumekua ngumu kweli soon wataamua kubeba silaha kabisa wapambane hahah
 
aliiacha kwenye gari? Imekuwa kama simu za mezani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…