elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Hatimaye kampuni ya apple inatarajia kuzindua simu ya iphone 7 hapo leo (siku ya jumatano).
Matarajio ya wengi ni kwamba iphone 7 itakuwa na camera yenye lens mbili, na tundu la kuwekea earphone litaondolewa iwe inatumia earphone zenye kuingia sehemu ya charger.
Source: bbc swahili