Iphone 7 kuzinduliwa Leo

Iphone 7 kuzinduliwa Leo

Bei yake kwa hapa ni sh. Ngapi? Nimesoma eairphone ni kama wireless
 
Mkuuu umenichekesha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji13] Ba magu achie pesa izo hali tete uku kitaaa hadi kwenye mitandao Mbs zenyewe zakukopa [emoji125] [emoji125] bora nchi iuzwe kila mt apewe chake
 
[emoji12] [emoji13] Ba magu achie pesa izo hali tete uku kitaaa hadi kwenye mitandao Mbs zenyewe zakukopa [emoji125] [emoji125] bora nchi iuzwe kila mt apewe chake
Magu kabana hadi watu hawataki sikia masuala ya simu mpya
 
Hapa pananifaa

1473277152304.jpg
1473277165862.jpg
 
Bado wanazingua kwny battery 1960 hawako seriaz

Huna haja ya kuwa na battery zenye maH kubwa. Ila apple nawaaminia jinsi softaware na hardware zilivyo customized.
 
32GB - $649 (£599, AU $1,079)

128GB - $749 (£699, AU $1,229)

256GB - $849 (£799, AU $1,379)
 
Back
Top Bottom