Iphone 6S imegoma kufungua appstore, Itune store na Podcast.Nifanyeje iwe sawa?

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,826
2,057
Wapendwa nina Iphone 6S ambayo ilikuwa ina IOS 10 na leo hii nimei-Upgrade kuwa IOS 11.2.2 baada tu ya kumaliza kazi hiyo imegoma kufungua App Store,Itune Store na Podcast.Nauliza ni fanyeje ili sawa????
246f42c81700548e9b10784240267ce4.jpg
 
Ngia settings hakikisha time, date na timezone ziko sawa. Timezone ya TZ ni +3.

Nenda Settings > Cellular > iTunes Store > WLAN & Cellular Data. Hakikisha itunes inaruhisiwa kutumia cellular data. Restart simu.
 
Ok ngoja nijaribu tena!!!
 
Katika pekua-pekua yangu kuna sehemu ilikuwa off baada ya kuziweka ON mambo yamekuwa Mswano sana nawashukuru wote kwa ufafanuzi.
013215f0b10a511b45cc5223c9a55c8d.jpg
 
Back
Top Bottom