Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
- Thread starter
-
- #21
2achane na hlo pia nina swala lngne la msingi hv camera quality ya cmu inavyokuwa nzuri na vi2 vngne kaa hvyo,compliments apewe nani manufacturer wa cmu i.e htc,sony,samsung au aliyetengeneza os ambaye ktk hzocmu nilizotaja ni android
co kweli mkuu kwenye brigtness hapo mim nakataa coz unaweza kuadjust vile unavyotaka kulingana na preference yako na mahali ulipo mim natumia sony xperia tipo dual with android version 4.2 na camera megapixel 3.2 ila picha zake ni nzuri balaa kama nimetumia digital vle sasa unavyoniambiahyo nokia yako imemzd sg3 kwa quality ya camera nakuwa kama cjakuelewa hv.
Toka huko mimi natumia Note 2 inafanya kila kitu yaani asikudanganye mtu. Samsung android ni noma
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
usiseme inafanya kila kitu wakati 2gb na quad core inapitwa efficiency na 1gb dual core ya lumia 920.
Hebu iangalie simu yako ukitoa uwezo wa kulauch apps ina nini cha ziada? Ngoja nkupe difference kidogo za hiyo simu na lumia 920
-kioo cha note ni cha kawaida kinasense kwa kidole tu wakati kioo cha lumia 920 kinakubali gloves na kila kitu hadi vijiko na kucha
- ukiwa na note utachaji kama simu nyengine lumia 920 ina wireless charge
-ukiwa na lumia 920 utapata rich recording kwenye makelele upate qualitu nzuri samsung ni noise friend kawaida yake kukupa voice mbaya kwenye makelele
-lumia 920 ina pureview yenye floating lens ikitoa picha nzuri hasa lowlight kuliko simu yoyote duniani even digital camera note ni camera ya kawaida
-lumia 920 inakuja na eXclusive apps kama citylens, nokia maps, photo beamer na apps kama 20 zaidi ambazo ni usefull ambazo huzipati kwenye note
-lumia ina os nzuri ambayo ni responsive na smooth bila lags note ina os ambayo hata utumie 64 core inalag tu
mkuu hapa naeza nkakesha kukupa vitu unavomisi kwenye note yako bora kanunue samsung ativ kidogo utafaidi.
ninaposema brightness namanisha umeeka hadi mwisho then eneo ulipo ni direct sun
kidogo unaniconvince la hyo wireless charging ni habar nyngne nawapen big up nokia,na hyo photo beamer ndio ki2 gan kama unaweza kuelezea kuliko ku2tajia 2 coz hata mim ninaweza kukutajia za android ambazo hata huzijui
Fungua link hiyo. Nokia Lumia 920 vs Samsung Note II - Our Analysis
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
kidogo unaniconvince la hyo wireless charging ni habar nyngne nawapen big up nokia,na hyo photo beamer ndio ki2 gan kama unaweza kuelezea kuliko ku2tajia 2 coz hata mim ninaweza kukutajia za android ambazo hata huzijui
Wewe ni mbishi nnachojua nikwamba android ni balaa especial ikiwa Ndani ya Samsung maana inafanya kila kitu picha ina option nyingi sana kuliko hiyo lumia
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
Wewe ni mbishi nnachojua nikwamba android ni balaa especial ikiwa Ndani ya Samsung maana inafanya kila kitu picha ina option nyingi sana kuliko hiyo lumia
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
dah mi ctak kuwa conservative,ila naanza kukuamini na nokia yako,cwez kucoment sana coz cjawah 2mia window phone bt niko mbioni kuipata nikijiridhisha nitakurudia.ilapia hongera kwa kuwa muelewa na updated wa vi2 ving kuhusu nokia namengneyo.
kumbe walikuwa na wp7.5 hihi haya bwana ngoja nideclare interest mim binafsi nokia zcpend coz walikuwa hawabadiliki na mitechnology yao bt ila microsoft nawakubal labda nitawapenda tena ngoja niishike mkononisame here nimetumia wp7.5 haijanivutia kivile ila nairecomend kwa wasio na matumizi mengi maana ipo smooth. Nasubiria nokia 620 itoke niitest hio wp8