Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
Hahahaha dunia ya apple iko poa mbaya hahaha.Nafikiri they are working on it hvyo iphone 5s itakua poa..Kabla iphone 5 haijaisha ladha tayari kumeshaanza rumours nyengine za iphone 5s je kunani apple?
Leo asubuhi nilikua napitia habari fulani theverge walikua wameandika kua polisi nchini australia wametoa warning la kuwa makini pindi watu wanapotumia maps za apple maana kuna watu walikua wanaenda tembelea mbuga za wanyama wakajikuta wamepotea kilomita 70 deep eneo lenye joto nyuzi 46 kama sio kijiji kimoja kilichopo eneo hilo jamaa wangeweza poteza maisha.
Ndipo jamaa mmoja alicoment picha moja funny sana kuwa dunia kwa muono wa watu ipo duara au kama hivi
lakini kutokana na muono wa apple dunia ipo hivi
je why hadi imefikia huku? Jibu ni rahisi tu iphone 5 imefeli na kurudisha nyuma sana reputation ya apple na iphone kwa ujumla.
Na wao kuliona hilo wamereact fasta na tayari leaks zimeanza kutoka na baadhi ya nlizozisoma ni hizi.
multiple colors
iphone 5s tofauti na wenzake wa nyuma itaanza kutoka rangi tofauti na nyeusi na nyeupe so hapa tutegemee rangi kama nyekundu cyan na njano ziwepo
hd screen
pia kuna rumours kua itasuport full hd katika 1080p na kua na pixel per inch 400 other rumors zinasema camera ndo itasuport full hd
battery
tetesi zinaendelea wamepanga kuimprove battery ili ikae na chaji sana kuliko ya sana sjui itakua bigger au better
kusupport nfc
kwa wasiojua nfc kirefu chake ni near field communication ni technology kama bluetooth inayoruhusu device kushare vitu vikiwa karibu. Hii kitu tayari ipo kwa manufacture kama nokia na samsung na apple naona nao wanafuatia.
Je apple ataweza kurekebisha makosa yake kwenye iphone 5s?
android ndiyo mpango mzma au unaniambiaje mzee wanokia chif mkwawa
kwangu mimi never,
ngojeni cheap wp zinakuja
Jolla una taarfa zao mkuu?
kwangu mimi never,
ngojeni cheap wp zinakuja
kwangu mimi never,
ngojeni cheap wp zinakuja
kwa bahati mbaya ckuwahi kushika wala kui2mia samsung galaxy s 3 bt jana nilipata bahati hyo,yaani ile cmu ina kila ki2 kweli ile ni designed 4 humans I love it.
nimeitumia sana mimi nothing new android ni vita vya specs na app launcher basi hawana la ziada. Tafuta nokia yako kama ya laki kadhaa iwe inatumia belle mfano nokia 700 au 808 usichukue king wao lumia 920 then chagua samsung yoyote kubwa kama samsung galaxy s3 au note then fanya yafuatayo
-nenda sehemu yenye makelele kama show za music rekodi kwa simu zote mbili halafu baadae uje uplay utashangazwa na samsung walivo na quality mbovu
-zunguka juani toa simu yako utashangazwa na brightness ndogo
-leo nimefanya comparison ya nokia 700 na samsung sg3 ya camera still 700 inatoa picha nzuri zaidi japo different ya bei ni kama laki 8
wanachoringia android ni apps tu lakini simu zao nyingi ni za kulipua sana

co kweli mkuu kwenye brigtness hapo mim nakataa coz unaweza kuadjust vile unavyotaka kulingana na preference yako na mahali ulipo mim natumia sony xperia tipo dual with android version 4.2 na camera megapixel 3.2 ila picha zake ni nzuri balaa kama nimetumia digital vle sasa unavyoniambiahyo nokia yako imemzd sg3 kwa quality ya camera nakuwa kama cjakuelewa hv.nimeitumia sana mimi nothing new android ni vita vya specs na app launcher basi hawana la ziada. Tafuta nokia yako kama ya laki kadhaa iwe inatumia belle mfano nokia 700 au 808 usichukue king wao lumia 920 then chagua samsung yoyote kubwa kama samsung galaxy s3 au note then fanya yafuatayo