nenda youtube kaandike how to remove lag s4. utaona kasheshe kuna kila aina ya lag. touchwiz ndo skin mbaya zaidi ya android hapa home kuna s4 na s3 original na zinalag kama kawa sema labda wewe sio power user unatumia smartphone kama feature phone (kupiga simu +whatsapp na kuingia net mara chahce) uliza wanaozitumia smartphone watakwambia
its true mi nadownload some stuff,whatsapp,jf,viber,fb,basi nimemamliza
Simple and clear. Nasikia kuna simu zina hadi programs ya kusaga nafaka...
Kuna wafuasi wa Apple ambao hata kiberiti kikipakwa rangi ukaambiwa ni iphone watakinunua ili mradi wasinunue simu nyingine, hivyo mkuu sishangai na hoja zako, NIlinunua Iphone 4s brand new nikaitumia si zaidi ya wiki nikaitia sandukuni nikarudi kwenye HTC yangu. Inawezekana hiyo S4 uliyokuwa nayo ilikuwa ya mchina make sijaona Galaxy inatumia muda mwingi kiasi hicho kufungua picha.
lumia tu
amesema memory card, hata uwe na pc yenye i7 still memory card ipo slow ni nature yake. flagship nyingi hazina mmc sababu hio
Choice ya mtu mwachie mwenyewe. Kama mtu ameipenda iPhone au Galaxy ni yeye mwenyewe na ana sababu zake.
Muhimu ni kuwa na kitu roho inapenda
iHate Apple
Simple and clear. Nasikia kuna simu zina hadi programs ya kusaga nafaka...
we unaweza kununua?Sababu huwezi nunua...