Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,063
- 3,630
Double click kwenye screen inaondoka zooom
Aksante mkuu ngoja nijaribu.
View attachment 263335Habari ya mchana ndugu zanguni?
Kuna iphone 5s hapa ya dada yangu katika kuichezeachezea kaizoom sasa anashindwa kufanya lolote, nimeikonekti itunes lakini inasema mpaka aingize passcode alizoweka na passcode hawezi kuingiza kwasababu imejizoom. Je kuna namna ya kufanya hapo? Ama kuirestore inakuwaje?
Public Enemy pole sana ni kazi ndogo sana weka vidole vyako vitatu kwenye screen kwa pamoja nayo zoo itatoka baadaye uende SETTING-GENERAL-ACCESSIBILITY-ZOOM na unaweka OFF hiyo ZOOM. NA HAPO IPHONE 5s itakuwa kama zamani.
Hapo atasumbuka bure fuata topic yangu [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=7]#7 [/URL] ndiyo suluhisho la tatizo lako.
Nilijaribu hiyo kitu a hundred times lakini hakuna kitu, nashukuru.Zima halafu iwashe tena...
Nilijaribu hiyo kitu a hundred times lakini hakuna kitu, nashukuru.
Hiyo hali ilishanitokea ila nimesahau jinsi ya kuirudisha. Ipo ndani ya settings...
Mpaka ilipofikia ni screen mbili tu zina appear ya Iphone is disabled connect to itunes na Ya emergency calls tu na sasa nime connect itunes lakini inasema Itunes can`t connect it. Nimeganda nawaza na kuwazua njia mbadala.
Kitu kidogo saaana hcho hata mm kilikuwa kinantoa jasho kwenye simu yangu,ila kutokana na utundu wangu nikajikuta mzungu kanizidi akili kwa kitu kidooooogo sana na naweza ku I zoom na kuitoa kwa sekunde tu,hata nikikutajia utajikuta nawewe mjinga kwa mzungu,ila kwa kuwa solved problem basi bro
Kwa sasa hivi wewe unatumia itune version gani????kama ni ya zamani lazima U-download new version nijulishe utakapofikia.