Iphone 5 users: How do you keep your phone with charge for a long time ?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
I have iphone 5, inakula charge ndani ya muda mfupi sana inakuwa imeisha.
Kwa wale wenye iphone, mnatumia njia gani kuweka simu yako ikae na charge muda mrefu?
Pia, hapa Tanzania kuna genius bar wanaoweza kufungua na kuifanyia service iphone ikimaanisha kuifungua na kubadilisha battery??
Nawasilisha
 
Simu yake chaja bwana,we unalalamika ndo nakwambia ulitaka ile supu?
 
ndio hapa naona hakuna money for value ,unanunua simu haikai na chaja full time una powerbank na usb kila soket unataka kuchomeka .nunua HTC 816 hutojutia unamaliza siku na vyote unafanya
 
Situmii android mkuu
 
I have iphone 5, inakula charge ndani ya muda mfupi sana inakuwa imeisha.
Kwa wale wenye iphone, mnatumia njia gani kuweka simu yako ikae na charge muda mrefu?
Pia, hapa Tanzania kuna genius bar wanaoweza kufungua na kuifanyia service iphone ikimaanisha kuifungua na kubadilisha battery??
Nawasilisha

Ujitahidi kumanage matumizi ya data hasa ukiactivate 3G/LTE zinamaliza sana chaji, tumia WiFi kama unaweza, brightness nayo inakula chaji, iset kwenye auto-brightness itasaidia na close all applications zinazorun background. Zaidi ya hapo ni power bank tu Mkuu
 
Mkuu tunashukuru kwa maelezo ila sijaelewa una close vipi program zinazorun kwenye iphone 5?
 
Simu yako ina tatizo la betri nenda kkoo agrey kwa eric anauza betri ukabadilishe hata wewe pia waweza badilisha betri kwa msaada wa google.....
 
Kwenye home button, double click, zitakuja applications zote zinazorun background, utazifunga kwa kuzi-slide kwenda juu
 
hata mi narecomend solution hii, toka ios 7 iphone wameenda mtindo wa android wa multitasking. hivyo app nyingi zinafanya kazi chini kwa chini inabidi uzifunge
 
Simu yako ina tatizo la betri nenda kkoo agrey kwa eric anauza betri ukabadilishe hata wewe pia waweza badilisha betri kwa msaada wa google.....

Ushawah kuitumia?? Experience yako ikoje??
 
hata mi narecomend solution hii, toka ios 7 iphone wameenda mtindo wa android wa multitasking. hivyo app nyingi zinafanya kazi chini kwa chini inabidi uzifunge

Huwa nazifanya hvyo mara zote. Nahisi labda ni tatizo la betri. Nawaza nikabadili battery kwa fundi
 
Bulldog hapo kabadilishe battery maana hata mimi nilipokuwa natumia iPhone 5 baada ya kama mwaka hivi battery ikawa hadi 2-3 hrs of usage time pili kama upo na iOs 8 zima LTE maana inakuwa busy kuitafuta...
 
Last edited by a moderator:
Glad to see iUser,
Broo ni hivi, ka ni iOS 6 kwenda down , basi thats hardware issue. No solution a.k.a battery damage

Am sure una iOS 6/later

Ka ni iOS 6
Always close, force quit social apps on the go.
Reduce brightness to 50% ad default
Reduce sound to LEDS THAN 50% always

More than dat its a hardware issue and in my knowledge no Apple Authorised Service Centres in TZ.
 
Huwa nazifanya hvyo mara zote. Nahisi labda ni tatizo la betri. Nawaza nikabadili battery kwa fundi

For the love of god, don't go to fundi,
Ull tell us how he replced the LiON Bat
 
tanzania hamna genius bar labda upate fund tu mzr bas than kubalisha betry ndo ayo just be care with cellular data ... yang me iphne 5s nazima data kama situmii
 
fundi hawana tools nzr za kufungulia wanaforce na madude tu kioo mara hawakaz me nlibadilisha betrry nlijuta
 
Bulldog hapo kabadilishe battery maana hata mimi nilipokuwa natumia iPhone 5 baada ya kama mwaka hivi battery ikawa hadi 2-3 hrs of usage time pili kama upo na iOs 8 zima LTE maana inakuwa busy kuitafuta...

Ulitumia njia gani kusolve tatizo lako?? Nahisi nina tatizo kama lako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom