Iphone 5 users: How do you keep your phone with charge for a long time ?

fundi hawana tools nzr za kufungulia wanaforce na madude tu kioo mara hawakaz me nlibadilisha betrry nlijuta

Naomba uzoefu wako. Simu ilifanyaje?? Ukatumia njia gani kusolve tatizo lako??
 
Glad to see iUser,
Broo ni hivi, ka ni iOS 6 kwenda down , basi thats hardware issue. No solution a.k.a battery damage

Am sure una iOS 6/later

Ka ni iOS 6
Always close, force quit social apps on the go.
Reduce brightness to 50% ad default
Reduce sound to LEDS THAN 50% always

More than dat its a hardware issue and in my knowledge no Apple Authorised Service Centres in TZ.

Brightness kwangu ipo kama 30% tena ni auto.
Sound ipo kama 20% kwasabab sipendi kelele kabisa
Natumia ios 8.1.3
And what if nika upgrade kwenda iphone 5s?? Will i experience better results??
 
tanzania hamna genius bar labda upate fund tu mzr bas than kubalisha betry ndo ayo just be care with cellular data ... yang me iphne 5s nazima data kama situmii

Umesema kuhusu kuzima data ukanikumbusha siku yakwangu inaibiwa nlikuwa nimezima data ili ku save charge na mwisho wa siku mpaka leo nahisi imeshakuwa kopo maana haijawahi kurudi tena online
 
Tatizo sio battery. Ndio iPhone ilivyo!
Nasikia latest model, iPhone 6 battery itadumu siku moja na nusu!
Switch off vitu ambavyo huvitumii itasaidia kidogo sana. Nimebadilisha battery hamna tofauti yoyote!
 
Wengi wameshauri hapo juu vizuri
Jitahidi kuzima data kama hutumii mara kwa mara
Jitahidi ku close app mara umalizapo kutumia
Punguza mwanga na sauti
Punguza kuwa bize na simu kila dakika unauchungulia hiki mara ufanye hivi mara vile
Kama unakaa sehemu 3g inapatikana kwa tabu bora kuweka edge maana simu inakua bize sana kusaka 3g
Zima wifi na bluetooth kama huzitumii

Kama haita saidia basi hilo ni tatizo la hardware yaani bettery
Kuwa makini mafundi wa kibongo hawakawii kukuharibia simu yako na bettery watakayo weka hukai nayo zaidi ya miezi 6 tatizo linakuwa kubwa zaidi utatamani kutafuta hii ya awali
 
Nadhani kauli sahihi ungesema ndio smartphone zilivyo
Hakuna smartphone inakaa na chaji kama ukiwa mtumiaji mkubwa wa simu
 
Jamaa wana OS nzuri sana, ila battery capacity zao ni ndogo sana. Waweke kuanzia 2500 Mah
 
Wengi wameshauri hapo juu vizuri
Jitahidi kuzima data kama hutumii mara kwa mara
Jitahidi ku close app mara umalizapo kutumia
Punguza mwanga na sauti
Punguza kuwa bize na simu kila dakika unauchungulia hiki mara ufanye hivi mara vile
Kama unakaa sehemu 3g inapatikana kwa tabu bora kuweka edge maana simu inakua bize sana kusaka 3g
Zima wifi na bluetooth kama huzitumii

Kama haita saidia basi hilo ni tatizo la hardware yaani bettery
Kuwa makini mafundi wa kibongo hawakawii kukuharibia simu yako na bettery watakayo weka hukai nayo zaidi ya miezi 6 tatizo linakuwa kubwa zaidi utatamani kutafuta hii ya awali

Nashukuru kwa msaada wako, nimefanya yote hayo, nitajaribu kubadili battery nione majibu yake.

Nikiona ni yaleyale nitajaribu kuupgrade kwenda iphone 5S au 6 nione majibu yake.

Pia hii ni device yangu ya kwanza kwenye upande wa apple. Nimeipenda sana
 
Nadhani kauli sahihi ungesema ndio smartphone zilivyo
Hakuna smartphone inakaa na chaji kama ukiwa mtumiaji mkubwa wa simu

Inawezekana mkuu nilikuwa nazungumia uzoefu wa iPhone ambayo at least nina uhakika nayo!
 
zipo smartphone zinakaa na chaji, ulizia kwa wanaomiliki lenovo p780, watoe ushuhuda wao, lile simu kwanza linakuja na OTG cable mahususi kwa kutoa huduma ya kucharge simu nyingine, nilikuwa siamini ila nilivyokuja kuliona na heshima nikatoa.
 
Mkuu unaposema inakaa na chaji ni neno pana sana,
Wingi wa Mah sio kigezo pekee cha simu kukaa sana na chaji, kuna mambo mengi mengineyo
 
Inawezekana mkuu nilikuwa nazungumia uzoefu wa iPhone ambayo at least nina uhakika nayo!

Mkuu nina iphone 5s na S4
Kiukweli sioni tofauti yoyote ile, chaji itakaa kulingana na matumizi yako

Kitu kingine kikubwa kinamaliza sana chaji watu wasichokijua ni tabia ya kupenda kuchungulia chungulia simu kila dakika

Mwanga wa display ya simu unamaliza sana chaji kama kila mara unachungulia simu, na sisi wabongo tulivyo sasa unashangaa mtu kakaa toka posta hadi mbezi mwisho yupo bize na simu muda wote

Unakuta mtu ana social apps za kumwaga zinarum underground email nk, hapo simu haiwezi kudumu na chaji
 
Nashukuru kwa msaada wako, nimefanya yote hayo, nitajaribu kubadili battery nione majibu yake.

Nikiona ni yaleyale nitajaribu kuupgrade kwenda iphone 5S au 6 nione majibu yake.

Pia hii ni device yangu ya kwanza kwenye upande wa apple. Nimeipenda sana

Mkuu mimi ni mnazi haswa wa Apple nnatumia iphone 5s na inakaa na chaji kama simu zingine zozote kulingana na matumizi ya siku husika

Lakini pia tambua hizi bettery zina life span pia, so inawezekana kabisa ikawa hiyo bettery imeanza kuchoka na inabidi kubadilishwa,
Kumbuka Bettery uisha nguvu pale unapokua unaichaji

Nilikua na iphone 3Gs enzi hizo ikawa haikai na chaji hata nifanye nini, nikazama kariakoo wahuni wakanibadilishia lakini ikafanya vizuri baada ya miezi mitatu tu nikaona niliyotoa inanafuu kuliko niliyowekewa
Nikazama ebay nikanunua bettry nikatumiwa na tools, nikaenda youtube nikapata darasa nikabadili bettry mwenyewe na simu ikarudia uhai wake

Tatizo bettry za kariakoo ni za kichina na hazidumu kabisaa, pia kuna hatari ya jamaa kukuharibia simu yako so be careful na utafute fundi anayeaminika

Nakushauri hamia iphone 6 ufutahie maisha ya Apple
 
Wewe badilisha battery kumbuka iphone 5 imetengenezwa mwaka 2012 so mpka leo life span ya battery imepungua sana au kwa kiasi kikubwa mie yangu nilibadilisha mwenyewe betri anyway kaka angu ana vile screw driver za kufungulia nikafungua nikachange n very easy....!!!!but now karibu kwenye iphone 6 mie mdau mkubwa za hizi makitu since iphone my BF alinileta huu ulimwengu sijutiiii kabisa kua na apple
 
Mkuu nina iphone 5s na S4
Kiukweli sioni tofauti yoyote ile, chaji itakaa kulingana na matumizi yako

Kitu kingine kikubwa kinamaliza sana chaji watu wasichokijua ni tabia ya kupenda kuchungulia chungulia simu kila dakika

Mwanga wa display ya simu unamaliza sana chaji kama kila mara unachungulia simu, na sisi wabongo tulivyo sasa unashangaa mtu kakaa toka posta hadi mbezi mwisho yupo bize na simu muda wote

Unakuta mtu ana social apps za kumwaga zinarum underground email nk, hapo simu haiwezi kudumu na chaji
Ha ha ha. Mkuu nisipochungulia watajuaje kuwa nina iPhone japo zilipendwa 4S?
 
Ha haaa
Mkuu nilipochukua iphone 5s basi kila sekunde naichokonoa mara hiki mara kile basi ikawa haikai kabisa na chaji, nikalaumu sana Apple wamechemka kwenye betrii kumbe ni mimi mwenyewe
Basi nilipo izoea mambo yakawa poa kabisa
Inawezekana hata mkuu Bulldog anakabiliwa na tatizo hili................just kidding
 
Last edited by a moderator:
Wewe badilisha battery kumbuka iphone 5 imetengenezwa mwaka 2012 so mpka leo life span ya battery imepungua sana au kwa kiasi kikubwa mie yangu nilibadilisha mwenyewe betri anyway kaka angu ana vile screw driver za kufungulia nikafungua nikachange n very easy....!!!!but now karibu kwenye iphone 6 mie mdau mkubwa za hizi makitu since iphone my BF alinileta huu ulimwengu sijutiiii kabisa kua na apple

Sawasawa madam
 
Ha haaa
Mkuu nilipochukua iphone 5s basi kila sekunde naichokonoa mara hiki mara kile basi ikawa haikai kabisa na chaji, nikalaumu sana Apple wamechemka kwenye betrii kumbe ni mimi mwenyewe
Basi nilipo izoea mambo yakawa poa kabisa
Inawezekana hata mkuu Bulldog anakabiliwa na tatizo hili................just kidding

Mi huwa nachat sana ila kwa sms za kawaida. So kutokaa mfukoni ni kitu cha kawaida sana.

Asubuhi nikiamka nina kama 20 mins za kuingia social sites kama instagram, google+ then naiacha charge najiandaa, nikimaliza nazima data nabaki na sms za kawaida had nafika job natumia wifi.

Nimegundua pia ukitumia wifi simu haili charge kabisa, unaweza ukakaa masaa 12 bila kuicharge ila ukihamia data utakoma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom