Iphone 5 na 5c kukosa ios 11

Iphone 5 na 5c kukosa ios 11

Os ya ukweli duniani itabaki kuwa window phone tu hawa wengine wana mbwembwe tu,nokia yangu nime-upgrade toka window 8,8.1,10 na sasa window 10s

naisubiri nokia 6 android mwezi huu mwishoni maana itanibidi nirudi android kwasasbu simu hizi zitatumia PURE ANDROID
Huu mzigo mpya wa Nokia nausubiria kwa hamu sanaa...nishauwekea Kibubu chake Special!
 
Ila ios 11 ni tamu balaa inavitu vipya amazing, kama kurekodi screen as video na unaweza tumia mic au usitumie, pia kunaile feature nyingine ni kubadili background ikawa black ukiwa kwenye apps mfano settings,appstore na app nyingne mfano wa simu kama s6,s7, au s8. inaitwa colour invert

Watu wamekuwa wakirequest dark mode au night shift lakini hii sio pure dark mode bali hii ni invert color tu, lakini kwa sababu bado ipo kwenye developer preview huenda wakaiweka kwenye pure dark mode
 
yap ila nimeipenda aisee.
 
Back
Top Bottom