Iphone 5 na 5c kukosa ios 11

Os ya ukweli duniani itabaki kuwa window phone tu hawa wengine wana mbwembwe tu,nokia yangu nime-upgrade toka window 8,8.1,10 na sasa window 10s

naisubiri nokia 6 android mwezi huu mwishoni maana itanibidi nirudi android kwasasbu simu hizi zitatumia PURE ANDROID
 
Mkuu mie mwenyewe nazisubiri kwa hamu sana hizo Nokia mpya...hivi bongo zitakuwa zimefika kweli huo mwisho wa mwezi??
 
Os ya ukweli duniani itabaki kuwa window phone tu hawa wengine wana mbwembwe tu,nokia yangu nime-upgrade toka window 8,8.1,10 na sasa window 10s

naisubiri nokia 6 android mwezi huu mwishoni maana itanibidi nirudi android kwasasbu simu hizi zitatumia PURE ANDROID

Hata Windows Phones pia zina ukomo wa kupata updates kama ilivyokuwa katika PC pia kulingana na hardware ya simu. Mfano ni hiyo Lumia 1020.

Windows 10 Mobile Insider Preview Device Reminder
 
Os ya ukweli duniani itabaki kuwa window phone tu hawa wengine wana mbwembwe tu,nokia yangu nime-upgrade toka window 8,8.1,10 na sasa window 10s

naisubiri nokia 6 android mwezi huu mwishoni maana itanibidi nirudi android kwasasbu simu hizi zitatumia PURE ANDROID
Kumbuka iPhone 5 imepata support ya software kwa miaka 5 na ukomo umefikia tu kwa sababu imekosa kusupport 64 bit architecture ambayo iOS 11 inatumia sasa hivi, usitegemee kwa Nokia kwenye android kupata suport kama hii
 
Alafu mpaka mwakani Apple wanataka apps ziwe kwenye mfumo wa 64bit xo wale madevelopa wenye apps zenye 32bit wanatakiwa waziupdate kwenda 64bit, kwa hali hii manake ukiingia AppStore sidhani kama kutakua tena na apps kwaajili ya ipad 4,iphone 4s,5, na 5c kwajinsi navyowajua apple ukitakakudownload tu unaambiwa your device not compotable..
 
Mkuu hivi hizi android versions zinavyobadilika kila wakati haileti athari kwa matumizi ya baadhi ya app...mfano sasa hivi anaetumia "ice cream sandwich" au "ginger bread" hawi na limitations kwa baadhi ya apps??
 
lazima iwepo coz unakuta simu zeny gingerbread kuna apps nyingi itakuwa ngumu kuzitumia maana utakuta minimam android 4.0 sand,
 
Apple kila simu huwa anaipa OS update for 5 years baada ya hapo ndipo anaachana nayo, tofauti na Brand nyingine unaweza nunua simu mpaka inakufa hujawahi pata OS update. CC: Tekno users
Personal nilikua nadharau visimu vya tecno ila nimeanza kuzikubali kwa kweli.
 
Mkuu hivi hizi android versions zinavyobadilika kila wakati haileti athari kwa matumizi ya baadhi ya app...mfano sasa hivi anaetumia "ice cream sandwich" au "ginger bread" hawi na limitations kwa baadhi ya apps??
App ya JF hupat humo
 
Ila ios 11 ni tamu balaa inavitu vipya amazing, kama kurekodi screen as video na unaweza tumia mic au usitumie, pia kunaile feature nyingine ni kubadili background ikawa black ukiwa kwenye apps mfano settings,appstore na app nyingne mfano wa simu kama s6,s7, au s8. inaitwa colour invert
 
Huo ni mtazamo wako.

Back
Top Bottom