naisubiria hii kitu nione kama wataendeleza presha kwa wapinzani wake kina droids mimi nataka walete kitu unaongea nacho na kinakujibu yani kama unavyoongea na rafiki yako. Na bateri nataka iwe kiboko zaidi ikae kamuda mwingi na kamawanaweza watuwekee vile visola paneli vinavyovuja nguvu za jua na kukachaji kasimu ukiwa unakatumia tuachane na kuchajichaji na kaumeme sie huku kanatupa shida sana.