IPHONE 5 KUZINDULIWA 04 OCTOBER 2011 AT 10:00 am PT.

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu habari ndio hyo k2 ya iphone 5 kutangazwa cku hyo mahali ni Apple’s Cupertino, Calif. campus
 
Mkuu wewe umeipata wapi hii "ofisho?" ninavyofaham mm yule bwabwa hajatangaza siku rasmi!!
 
mkuu tayari ipo rasmi nimeipata kwa wahusika wakuu mkuu
 
naisubiria hii kitu nione kama wataendeleza presha kwa wapinzani wake kina droids mimi nataka walete kitu unaongea nacho na kinakujibu yani kama unavyoongea na rafiki yako. Na bateri nataka iwe kiboko zaidi ikae kamuda mwingi na kamawanaweza watuwekee vile visola paneli vinavyovuja nguvu za jua na kukachaji kasimu ukiwa unakatumia tuachane na kuchajichaji na kaumeme sie huku kanatupa shida sana.
 
yani wakijitahidi hapo kwa kutunza chaji au waweke solar du watapiga bao kweli
 
Nafikiri sio Iphone 5. Ila ni Apple OS version 5 for Iphone na Ipad with more than 200 new features
 
Inatarajiwa I phone 5,ios5 na I phone 4s(I phone4 with 8GB of int. memory)
Ila hizi zote are still rumors!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom