Tafuta cable/wire Wa kuchajia ambao ni orijino kabisa unaweza kusaidia nikipata tatizo kama hilo ila ni sababu waya wangu ulikuwa umekatika kwa ndani ikawa haileti moto wa kutosha. Pole pia jaribu ku-google.
niko na chaja zaidi ya moja niko nazo 3 zote nikichomeka tatizo ni hilo hilo nikichomeka kwenye kwenye simu nyingine zinakubali ila kwangu ndo zinagoma ila kurestore kwenye itune nimetumia usb cable na ikakubali tatizo ni kuichaji ndo imekuwa kesi
Wakubwa habari za majukumu nawaombeni msaada juu ya hii iphone 5 ilikuwa iko sawa baada kuisha chaji kabisa imegoma kuwaka nikichaji inaonyesha inachaji zaidi ya siku 2 lakini bado iko asilimia ziro nimejaribu kuirestore kwa kutumia itune imekubali lakini tatizo bado liko vilevile kama picha chini inavyo eleza msaada plz
Mkuu angalia kama usb cable yako ina MFI certification. Kuanzia iOS7 sasa mpaka latest iOS version kuna security update iliyowekwa ambayo inazuia USB zote kufanya connection yoyote kwenye simu kama hakuna MFI certification kwenye hizo USB cables/chargers
Mkuu angalia kama usb cable yako ina MFI certification. Kuanzia iOS7 sasa mpaka latest iOS version kuna security update iliyowekwa ambayo inazuia USB zote kufanya connection yoyote kwenye simu kama hakuna MFI certification kwenye hizo USB cables/chargers.
Hiyo ishu ilinitokea kwenye iPhone 4S, kwa kuwa nilinunua cable mpya baada ya kupoteza ya zamani. USB cable hiyo nilipochomeka chaja iliniprompt kuhusu usb cable kukosa certification ambayo inaverify kuwa USB ni salama kabisa kwa kuchargia na ku-sync.
Kama tatizo litakuwa ni hilo basi make sure charger unayonunua imekuwa certified kwa ajili ya charging na syncing.