ndio matatizo ya kujiona kuwa unajua wakati haujui!! nani kakwambia hiyo charger yako ndio original? umeshaona Original Packaging wewe? haya angalia hapa full package ya iPhone 5S + warranty nimenunua wiki iliyopita uone kama inakuja na charger "after market" kama hiyo yako. acha wenge!!Mkuu hiyo sio ORGINAL charger ya iPhone 5 hata kama imeungua, charger yake ni hiyo hapo kwenye pic niliyoweka, nadhani simu yako inaweza kuwa sana na charge yake, then sio GENUINE apple product
Hii hapa US Store Apple World Travel Adapter Kit - Apple Store (U.S.) tuonyeshe charger ya hivyo!!!!acha ushamba wewe, plugs zinatofutiana kuna za UK, US n.k hiyo uliyoweka wewe ni ya UK
Tatxo haya masimu yenu ni hatari sana!!! Inawexa kua imekwapuliwa huko na mtu akavunjwa shingo,tena kigogo au mtoto wa kigogo!
Si mnakumbuka yule aliuziwa simu ya marehemu Afande Barlow?? Sasa hv yupo store,hzo imeli sijui nimepatia ndo tatxo! Nokia ya touch unaweza ishi ingawa nayo majanga tu
ndio matatizo ya kujiona kuwa unajua wakati haujui!! nani kakwambia hiyo charger yako ndio original? umeshaona Original Packaging wewe? haya angalia hapa full package ya iPhone 5S + warranty nimenunua wiki iliyopita uone kama inakuja na charger "after market" kama hiyo yako. acha wenge!!
mbona haujamalizia kubrowse hizo charger.. Hii hapa nimekusaidia Charging Devices - iPhone Accessories - Apple Store (U.S.)! Tafuta hiyo yako kwenye Apple Store utuonyeshe hapa ntakupa hiyo iPhone 5 bure.Hii hapa US Store Apple World Travel Adapter Kit - Apple Store (U.S.) tuonyeshe charger ya hivyo!!!!
Usikariri ati simu watoto wa vigogo, hatuna kitu hicho siku hizi, iphones, samsung galaxy note series siku hizi watu wengi hutumia kama kawaida tu... afu mtu kaonyesha hadi packaging nzima bado unahisi imeibiwa kwa mtoto wa kigogo, huyo aliyeibiwa ni mjinga kuibiwa kila kitu hadi boksi... sema visingizio kama mtu hela hana ndio maneno ya kujitetea haya
boksi na vitu vyake lazima vitakuwa vipya tu maana linakaa kabatini sitembei nalo, hapo natumia usb cable tu maranyingi inakuwa mfukoni na pia nachajia kupitia laptop ndio maana cable sio nyeupe kihivyo. au unataka niifute ndio niipige picha maana hata kinachouzwa hapa sio iPhone 5S ni iPhone 5! Alafu siuzii shida, ntasubiri mpaka mtu afike bei. sio lazima kuiuza bei ambayo sijaridhika nayo.Hiyo ndio ORGINAL PACK ya 5s na kuna USB imechoka na hivyo vingine vipya? mbona una unga unga mambo, hizi simu sema unakotoa, nimekuuliza una ushahidi wa manunuzi ujajibu mpaka sasa, ili tuone kama imetoka source halisi na ni yako kihalali, POVU la nini?
Pia hiyo charger sio part ya USA APPLE store Apple World Travel Adapter Kit - Apple Store (U.S.) hakuna the like kama yako, Kukaa kwenye box sio hoja, maana aliye chakachua anaweza tengeneza box safi tu, hata za kichina zina box safi tu, jibu nilichouliza, sio unauza vitu halafu unakuwa mkali,
Vipi ukimuuzia mtu kisha ikaleta longo longo si unampiga risasi, hiyo 5s unayosema watu tumeshaizeesha na charger yake ndio hiyo kwenye pic, zinaendana na ua 5.
wewe jieleze vizuri watu tununue mzigo
Hii hapa US Store Apple World Travel Adapter Kit - Apple Store (U.S.) tuonyeshe charger ya hivyo!!!!
Hivi kwann bei ya iphone huwa haishuki fasta kama samsung?
Hiyo ndio ORGINAL PACK ya 5s na kuna USB imechoka na hivyo vingine vipya? mbona una unga unga mambo, hizi simu sema unakotoa, nimekuuliza una ushahidi wa manunuzi ujajibu mpaka sasa, ili tuone kama imetoka source halisi na ni yako kihalali, POVU la nini?
Pia hiyo charger sio part ya USA APPLE store Apple World Travel Adapter Kit - Apple Store (U.S.) hakuna the like kama yako, Kukaa kwenye box sio hoja, maana aliye chakachua anaweza tengeneza box safi tu, hata za kichina zina box safi tu, jibu nilichouliza, sio unauza vitu halafu unakuwa mkali,
Vipi ukimuuzia mtu kisha ikaleta longo longo si unampiga risasi, hiyo 5s unayosema watu tumeshaizeesha na charger yake ndio hiyo kwenye pic, zinaendana na ua 5.
wewe jieleze vizuri watu tununue mzigo