Jipatie iPhone 4s yenye capacity ya 32 GB ikiwa na accessories zote kwa bei poa kabisa ya TZS 600,000. Kwa wale ambao wapo interested tuwasiliane kwa PM.
Ofisi yangu ipo Mwenge, Dar.
kila mtu anauza cimu na sehemu aliponunulia me naona kawaida tu kwa alivofanya,bt kwa anaehitaji iphone 3g na iphone 3gs nafanya biashara hyo ,laki 3 used na laki 3 na nusu mpyaaaa iko sild kabsa na kila kitu,ni pm kwaanaehitaji,simu zote zinatoka marekan na ni original

Hizo bei zenu hazina urafiki kabisa na maisha ya mtanzania.
Hebu acheni hizo jamani. Hizo iphone 3g kwanza kwa sasa zimeshuka kama unaongelea used.
Ukiingia ebay unapata mpaka 130 USD mpaka hapa imefika.
View attachment 144766
Angalia snapshot hapo juu
130 USD * 1640 (at the worst case scenario) ni sawa na kama 213,200/= sasa hizo laki 3 na nusu mnatoa wapi?
Acheni hizo bhana. Siku hizi biashara zimekuwa rahisi sana.
Kwanza hiyo laki 3 na nusu si bora uongezee laki 1 upate iphone 4s tena 64 gb used kabisa unapata.
Acheni kupiga watz.
Kwamm hyo iphone 3g na 3gs used zote n laki tatu nakuletea mpaka ulipo na hauta daiwa kitu chochote zaid ya hyo laki tatu na ikiwa simu ni mpya n laki 3 na nusu mpya kabsa na utaletewa bila kudaiwa chochote
Sasa mkuu wewe hauna hizo iphone 4s tufanye biashara