Iphone 4 mpyaaa inauzwa laki 5

Iphone 4 mpyaaa inauzwa laki 5

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,604
Reaction score
872
Iphone 4s 16GB memory, I Year warrant, mpya kabisa, naiuza laki 5. Nimeshindwa ku attach picha yake, nicheki watsapp 0777883861 nikuonyeshe picha na tuongee biashara
 
Nina laki tatu na nusu. Biashara inawezekana?
 
Aiseeee wewe, enheee na iphone 5 utauza sh ngap, 4s utauza sh ngap...!!! Mpya dukan ukiwa nayo mkonon lazma uuze bei ya mkonon!
 
Aiseeee wewe, enheee na iphone 5 utauza sh ngap, 4s utauza sh ngap...!!! Mpya dukan ukiwa nayo mkonon lazma uuze bei ya mkonon!

hii ni iphone 4s ndo bei yake kaka, kama unaweza biashara nicheki
 
Back
Top Bottom