IPHONE 4 LOCKED INAUZWA 300,000 tsh

IPHONE 4 LOCKED INAUZWA 300,000 tsh

elycaptano

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Iphone 4 locked kwa tele2 sweden inauzwa ni black na ina uwezo wa gb 16,jailbroken device kwa hivyo unaweza install any iphone apps, still in good condition,haina mikwaruzo,ina run ios 6.0.1,installed apps like skype,instagram,whatsapp,twitter..na nyingine nyingi.. karibuni for more infos piga au tuma txt kwa number 0718 882873 note;only serious buyers.
 
Ipo 150,000. Ntaunlock mwenyewe
 
200k instant via Tigopesa!
 
Hivi ikiwa locked inamaana siwezi tumia katika line yoyote hapa bongo au?
 
Tuna unlock iphone kwa 70,000 check me 0717022737

Hiyo unlocking yako inaweza kuifanya iwe inapokea updates after?
Am asking because kuna wanao unlock iphone kisha ukiwa una update simu inazingua kinoma.
Naomba mwongozo
 
Back
Top Bottom