Iphone 3gs inauzwa.

tsar

Member
Mar 15, 2011
74
2
ninauza simu yangu ya Iphone 3gs.
ni 32gb internal memory.
version 4.2.1 na unaweza upgrade.
ina applications 205 both za kununua na ku download bure itunes.
bei ni laki 400.
kwa mawasiliano zaidi ni pm.
napatikana dar.
 
Dah, mbona bei na wakat haina specific za kutosha.
laki 3 nakupa
 
Kaka hii iphone ni mpya, nahitaji iphone au blackberry bold 9700 mpya haraka iwezekanavyo.



ninauza simu yangu ya Iphone 3gs.
ni 32gb internal memory.
version 4.2.1 na unaweza upgrade.
ina applications 205 both za kununua na ku download bure itunes.
bei ni laki 400.
kwa mawasiliano zaidi ni pm.
napatikana dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom