IPhone 13 camera hamna kitu

Njoo mapicha achamanone
 
Huyu jamaa hajala akishiba akili itarudi.

Iphone inaweza kuonekana Gereza ila ni habari nyingine akatumie hata iphone X arudi hapa kufuta utoto wake[emoji23][emoji23]
Weka picha acha maneno jamaa
 
Weka picha acha maneno jamaa

Umewahi kutumia iphone lakini?

Isijekuwa umetoka kwenye tecno umeingia kwenye note 8 kwahiyo unaamini hakuna camera kali kuliko note 8 yako


Ujue mtoto aliyezaliwa akaishia kuona mbuzi ukimwambia kuna mnyama mkubwa kuliko mbuzi mnaweza kubishana sana[emoji23][emoji23]
 
Ndo ujue hutakiwi kulinganisha Iphone 13 na samsung note 8

Alaf iphone 13 sio macho matatu, iphone 13 ni two camera ziko diagonal

Whatever the case is, note 8 ni utopolo amini usiamini
Mkuu unayo hapo?🥱🥱
 
Mkuu unayo hapo tuoneshe🥱🥱
 
Kwanza hakuna Iphone 13 ya macho matatu, Mpaka hapo wewe tunakuondoa kwenye list ya wanaozijua simu.

Huu uzi Void mods muufunge tu.
 
Kwanza hakuna Iphone 13 ya macho matatu, Mpaka hapo wewe tunakuondoa kwenye list ya wanaozijua simu.

Huu uzi Void mods muufunge tu.
Oooh urudi lini kutoka Mirembe?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Anazingua huyo ng'ombe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…