IPhone 13 camera hamna kitu

Hata upewe camera nzuri kiasi gani kama hujui kupiga picha vizuri bas itatoka mbaya Tu,lakini mtu mwenye ujuzi mzuri WA kupiga picha hata akiwa na camera mbaya atapiga picha nzuri...Other factors remain constant.
Lame excuse
 
Weka picha hapa ulopiga na iPhone

Yangu hii hapa[emoji1313][emoji1313]
 
Challenge this
 
Umeleta hadithi nyingi sana humu[emoji23][emoji23][emoji23] hapa ungeleta na ushahidi wa picha watu wapime unachokisema
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi wakae kimyaa
Wewe umekuja kutumbia umeiona na ukapiga picha uka conclude ni zero… na sisi ambao zimeshapita mikononi mwetu either ziwe za kuazima kwa dk kadhaa kama ilivyokuwa kwako au za ndugu zetu, muhimu ni kuwa camera yake tunaijua so uwache kutudanganya.
 
Umeleta hadithi nyingi sana humu[emoji23][emoji23][emoji23] hapa ungeleta na ushahidi wa picha watu wapime unachokisema
Mkuu weka picha ya iPhone yako sa saivi ingekua poa sana

Yangu hii hapa[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Sis I did a comparison by pointing to the the same object not shooting a photo
 
Au tuseme you are not a photogenic, sababu mimi nilishakuwa na tecno spark 3 kuna kapicha nilikpatia angle aisee kalikuwa bomba utasema sio tecno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…