IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,701
Weekend iliyopita nilisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule.

Basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu kama macho matatu.

Haikuwa na password so nikaenda kwenye camera nikiwa nimeshika simu mbili kwa pamoja yaani kulia macho3 kushoto macho2 ya Samsung Note8 nikawa napoint kwenye object 1, aisee Samsung note8 kampiga gepu mbaaali sana huyu iPhone 13.

Najua mtakuja kujitetea ila ukweli ndio huo. Huyu sister ni wakishua hasaa so msije na lame excuses kwamba ni copy maana licha ya kwamba ni wakishua kwao ila hata yeye na mumewe wako vema sana.

Anayebisha siku ajaribu kulinganisha halafu aje na mrejesho.

Majaribio yalifanyika mchana na jua linawaka.
 
Weekend iliyopita nlisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule, basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu kama macho matatu.

Haikuwa na password so nikaenda kwenye camera nikiwa nimeshika simu mbili kwa pamoja yaani kulia macho3 kushoto macho2 ya Samsung Note8 nikawa napoint kwenye object 1, aisee Samsung note8 kampiga gepu mbaaali sana huyu iPhone 13.

Najua mtakuja kujitetea ila ukweli ndio huo. Huyu sister ni wakishua hasaa so msije na lame excuses kwamba ni copy maana licha ya kwamba ni wakishua kwao ila hata yeye na mumewe wako vema sana.

Anayebisha siku ajaribu kulinganisha halafu aje na mrejesho.

Majaribio yalifanyika mchana na jua linawaka.
Jiandae na vita maana umegusa penyewe
 
Hiyo note 8 ni utopolo hata kwa iphone x haifui dafu wacha utani wewe na iphone 13 ilo ni famba labda
Hii picha nimepiga saivi saa2 usiku na note8 tena ni counter ya ndani hebu piga na wewe na hio iPhonex
20220209_183252.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom