Iphone 13, binafsi naona ni sawa na iPhone 12pro

Iphone 13, binafsi naona ni sawa na iPhone 12pro

nashicha

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
279
Reaction score
524
Ndugu zangu mwaka Jana tuliona full release ya iPhone13 je kuna map ya yeyote yalionekana binafsi naona ni sawa na iPhone 12pro max maoni yenu jamani! Je wamekuwa na ubunifu wa camera tu au??
 
Unazungumzia iphone13 plain au iphone13 series yote?

Eniweis ngoja waje kukupa muongozo.
 
Jaribu kuchunguza utofauti wa hivi vitu vichache tu:

1) Uwezo wa kukaa na chaji (nguvu ya betri).

2) Uwezo/kasi ya CPU.
 
nikajua hata unaziuza umezipambanisha hapo mezani katika battle isiyo rasmi,kumbe umeangali maumbo!!!
 
mi naulizi ukaajiwa chaji ni masaa mangapi kama ukiwa online mda wote
online kwa maana ya onscreen au online unaigusa mara moja moja na kuilock unafanya issue zingine??

kama ni onscreen mwanga mpaka juu basi ni masaa 4-5 tu.

kama ni kulock na kutumia inakata hata masaa 13.
 
13 inatosha kabisa.
 
Back
Top Bottom