Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Watu wanajua wanachokifanya
Ashamaliza biashara ya mwaka keshoHatar sana hawa watu
Itakua kwenye laki 5 muda huo wakati tayr iphone 14pro max iko hewani.2022 lazima nitainunua
Je iphone 8 ni laki 5?Itakua kwenye laki 5 muda huo wakati tayr iphone 14pro max iko hewani.
Sijamaanisha laki 5 exactly, nilichomaanisha ni kua itakua imeshashuka beiJe iphone 8 ni laki 5?
tunaomba Link sourceOctober 13, apple waliitoa iphone 12series ambapo mpaka sasa iphone 12 sold out, manake ndani ya 24hours zaidi ya simu Million 2 zilikua ordered. Order hzo ni zaid ya mara mbili ya iphone 11 ambapo ndani ya saa24 simu 800k zilikua ordered.
Mpaka mwsho wa mwaka huu ripoti ya digitimes imetabiri iphone watauza zaid ya iphone 80million. Iphone12 inategemea kuvunja record ya iphone6 kutokana na kuwa na demand kubwa ya simu hiyo, na mauzo yake yatavunja record.
Ashamaliza biashara ya mwaka kesho
2022 lazima nitainunua
Je iphone 8 ni laki 5?
tunaomba Link source
tunaomba Link source
October 13, apple waliachia iphone 12series ambapo mpaka sasa iphone 12 sold out, manake ndani ya 24hours zaidi ya simu Million 2 zilikua ordered. Order hzo ni zaid ya mara mbili ya iphone 11 ambapo ndani ya saa24 iphone11 simu 800k zilikua ordered.
Mpaka mwsho wa mwaka huu ripoti ya digitimes imetabiri iphone watauza zaid ya iphone 80million. Iphone12 inategemea kuvunja record ya iphone6 kutokana na kuwa na demand kubwa ya simu hiyo, na mauzo yake yatavunja record.
View attachment 1609751
12 ni well balanced smartphone ila Record ya iPhone 6 &6+ si mchezo kuivunja . Mpaka sasa ndo inashikiria record ya the most sold smartphone of all time..
Hapo sawaSijamaanisha laki 5 exactly, nilichomaanisha ni kua itakua imeshashuka bei