The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,798
Actually Camera 2 au 3 zinatosha kwenye simu. Mtu mwenye Camera 2 au 3 anaweza kua anapata picha nzuri kuliko kwenye camers moja kwababu kila camera inakua na kazi yake kwenye picha moja.Camera 16 zinakusaidia ni ambacho mtu mwenye camera 1 hawezi kupata?
Bei yake sokoni ikitoka unafungua duka la sim za tecno za jumla kariakoo...
sasa camera itakua inapiga picha 3dKwa mujibu wa mitandao hasa Cnet na techradar, wanadai itavunja rekodi ktk nyanja nyingi hasa camera!
Mwisho wa siku Ni implementation, Kuna infinix Fulani nimeiona Ina camera 3 Ila camera moja Ni qvga inapiga picha kwa 320x240, unajiuliza hio resolution 2019 inatumika wapi? Inakuwa Ni gimmick tu.Actually Camera 2 au 3 zinatosha kwenye simu. Mtu mwenye Camera 2 au 3 anaweza kua anapata picha nzuri kuliko kwenye camers moja kwababu kila camera inakua na kazi yake kwenye picha moja.
Camera 16 nimetania tu watu wa Tecno.
Mkuu unazungumziaje utapeli wa leo wa apple.Mwisho wa siku Ni implementation, Kuna infinix Fulani nimeiona Ina camera 3 Ila camera moja Ni qvga inapiga picha kwa 320x240, unajiuliza hio resolution 2019 inatumika wapi? Inakuwa Ni gimmick tu.
Nokia 808 imetoka 2012 lakini mpaka leo Kuna area kibao bado inazipiga bao simu za kisasa even p30 pro.
Hivyo unaweza ukawa na camera 1 na ikawa nzuri na ukawa na camera nyingi zikawa mbaya.
Mkuu acha kuwafanyia hivyo tecnoTecno hata waje na camera 1000 hazina ubora wowote
Hakuna hizo innovation mkuu Mambo Ni yale Yale. Kitu positive nilichokiona Ni Bei tu wamepunguza kwa base model.Mkuu unazungumziaje utapeli wa leo wa apple.
5G bado sasa.Nilisikia 5G wataileta 2020...ila lets wait n see on Tuesday.
Kuna mtu anaweza jaza 512GB kwenye simu?Hahahaa aisee kimtindo sio simu ya kutisha kivile sema wanaume tutakoma mademu mizinga ya kuitaka hio Iphone 11 Pro itakua hatari tupu....maana mzigo unaanzia $1000 -$1100 hapo ukipata ile storage ya mwisho bei yake ndo hatari...
Carrier gani hawajaanza kulaunch 5G mkuu?5G bado sasa.
Hata carriers hawajaanza ku roll out hiyo network.
Labda tuongelee kuanzia 2021-2022. Hapo ndo itakuwa fair kuanza kununua 5G phones.
Huku africa tuanze kuongelea kuanzia 2023.
Mkuu rejea heading ya uzi ilikua na kiulizo
Hivi unawajua mademu wa kibongo si wanang'ang'ania tuKuna mtu anaweza jaza 512GB kwenye simu?
Hii ni bugdet phone yao lakini..sio spec za pro
Naskia ndo wamewaletea dark mode 2019....