IPeni Maneno Picha ya Leo!!! Mtoto wa DotCom............

sasa amemtoboa sijui ndio kuotoga masikio au..sijui huyo mtoto aliridhia au mzazi amejiamulia...hapa ukuikwaji wa haki za binadamu hazijakiukwa kweli MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
sasa amemtoboa sijui ndio kuotoga masikio au..sijui huyo mtoto aliridhia au mzazi amejiamulia...hapa ukuikwaji wa haki za binadamu hazijakiukwa kweli MziziMkavu

sidhani kama wengi wao wanaridhia na walivyofanyiwa
 
Last edited by a moderator:
Aisee mimi hii biashara ntaendelea kuipinga siku zote....mwache aje atoboe mwenyewe akiwa mtu mzima we mama kama unapenda urembo jirembe wewe mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…