Ni ngumu kwa sbb wamejitenga me upande mmoja na ke pia
Ndio mpwa leo ameenda mjulia hali mzee Malecela.Mhhhhhhhh huyo mweupe ni Mama Anne Kilango?
Kwani mzee hagongi?Ndio mpwa leo ameenda mjulia hali mzee Malecela.
Mungu huchukizwa na sadaka/maombi ya wenye dhambi, labda kwa kutubu dhambi zao. Ud... U.c.h.wa.ra ni dhambi pia.Inapendeza kuona mkuu wa kaya akizamia katika maombi,Mungu wetu mwema aendelee kumpa hofu na unyenyekevu,kuwa rais na kumwabudu Mungu aliye hai inapendeza,barikiwa sana mh rais
Tuambia kwanza umeshaacha kujamba mbele ya Limupenzi?Be the first to reply
