Ipe neno moja hii picha....

CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,503
25,466
Neno moja tu kwa hii picha..
IMG_20150527_231703.jpg
Jembe...
 
Tukiwa shule ya msingi miaka ile
Tulikuwa tunaimba jembe jembe
Jembe mama ninapolima nalima
Mwenyewe ninapovuna walaji wengi hapo ni mchaka mchaka wa kufa mtu mwalimu yuko nyuma na bakora
 
Mshua kaniambia nitangulie home nipeleke Jembe coz yeye kapitia Kilabuni kwanza, atarudi home usiku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom