Ipe Neno Lolote Hii Picha

Sakapara

JF-Expert Member
Jun 24, 2019
299
394
1b9c8a55-2b3d-475b-90f8-a3964f8bfa2f.jpg
 
Huyo anaimbisha wakati mtoto katoka kwenye tukio shamba la jirani.

Au ndiyo anamuuliza "baby ulikuwa wapi nimekusubiri sana na si kawaida yako kuchelewa", kumbe njiani alikutana na 'baharia' wake wa part-time wakapasha kiasi chao ndiyo akafika kwa 'mtarajiwa' wake.
Just thinking!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom