Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Duuh!

Pole mkuuDah alafu nakula mwanangu nimefungua ujinga!!!
Aisee....
na saa design kama ya kiume.huu mkono mbona kama wa dume
Wa hivyo huwa hawachambi wanatumia toilet paper...Napata shida sana kula chakula cha mtu mwenye mikucha mirefu, hua nawaza chembe chembe za choo zipo kwenye kucha
Mbona huo mkono wa kiume kassieAngepaka hina bila kuongeza urefu wa kucha halafu juu yake anapaka shine colour less angenoga zaidi na hiyo rangi yake ya mwili.
Crazy pink and black chocolate..... it hardly come......
Jina zuriKucha mpya vidole vya zamani
AsanteJina zuri