NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,897
Unchambio nchafu
Mbona huo mkono wa kiume kassie
Hamna bwana we huoni hata hilo jisaaDooh basi mie nna mikono ya kiume, maana imefanana hivohivo kasoro tuu haina rangi kwenye kucha.
Hamna bwana we huoni hata hilo jisaa
Mbunge viti maalum
dah, iyo misimu ndani apo si mchezo, tope, mboleaUkweli % kubwa ya mahusiano wanasukuma tope sana tu. Hapa wanaume wengi tu hata hawa tunawaona uso mbuzi wanasogezwa mbolea.